Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

Mwambie akae mwaka mmoja bila kwenda benki kuchukua mshahara. Akiweza kuishi vizuri aache kazi.

Ukweli m180 mashamba na trekta ni mtaji mkubwa. Ila inawezekana mshahara unaplay part katika kufanya hizo mali zisurvive.

Mimi hata m50 tu ualimu kwa heri
Ni akili kujiamini bidii na bahati wakati mwingine vinaambatana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mil 180 ni kilimo chenyewe kabisa au ni hiki kilimo cha online? Cha mpapai mmoja unazaa mapapai 20 ukipanda mipapai 20 una mapapai 4000 ukiuza sokoni kila papai unapata milion 2 ukitoa labda garama zako laki 1 unabaki na milion 3, ndio hiki???
[emoji848][emoji848] kama ni cha online aendelee na kazi ya ajira kama ni reality atumie hizo vizuri kwa kujitoa risk na kufanya mengine

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Aisee na mimi nimefikiria kama wewe na ninachofikiria huenda ni hadithi ya kufikirika. Hilo suala lilikua sio la kufikiria mara mbili bali au kuja kuuliza uliza hapa bali ni kuchukua maamuzi tuu kama msomi
usikute analima kilimo cha online na anatuchota akili huyu mtu sio bure

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wadau nipo kwa niaba.

Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.

Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!

Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.

Karibuni
Ikiwa Kazi hiyo ya Walimu ni kikwazo ktk shughuli zake za Kilimo kwa asilimia kubwa Kiasi cha kutishia Project yake,hapo sawa,Tofauti na hapo apige shughuli zote.Apange tu ratiba zake Vizuri.
 
Wadau nipo kwa niaba.

Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.

Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!

Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.

Karibuni
Sishauri
 
Kwani hawezi fanya kilimo huku akiendelea na ajira yake??
 
Kama ana uwezo wa kuingiza milioni 180 kwa msimu mmoja tu wa kilimo (miezi 6) ana haja gani ya kuendelea kuwa mtumwa wa mshahara wa miloni 7 kwa mwaka mzima?

Kumbuka hakuna tofauti kati ya mwalimu na mwanafunzi ..wote mnaamka alfajiri, wote mnakesha usiku kujisomea n.k sasa hayo maisha si yanachosha
 
Hahaa, jaman mnaosema 180m labda kilimo cha online
 
Mimi ni Mwalimu na mkulima, na mfanyabiashar,kwa kazi Yaa ualimu Hana sababu ya kuacha ,,,kazi inatoa muda mwingi,Mimi nalima kiazi na parachichi, na Sasa nimefungua shamba la kahawa makete mbona namudu vizuri tu , ualimu haunipi pesa unanisaidia niwe msafi na nadhifu
 
Kama atakuwa anamwagilia hayo mazao mwambie aache ila kama atategemea mvua basi ajiandae kuja kuomba ushauri
 
nani kakudanganya mkuu Masanja analima, Mo analima, hata matajiri wengi tu wanalima sasa namuamini aliesema ukitaka mali utazipata shambani

Masanja ana hela gani?

Unafananisha kilimo Cha Mo mwenye heka zaidi ya mkoa na biggest sisal producer duniani na wewe mwenye hela 2 na kutegemea mvua? Jichanganye ufurahie show.

Ukitaka kuwa fukara nchi hii kuwa mkulima.
 
Masanja ana hela gani?

Unafananisha kilimo Cha Mo mwenye heka zaidi ya moja na biggest sisal producer duniani na wewe mwenye hela 2 na kutegemea mvua? Jichanganye ufurahie show.

Ukitaka kuwa fukara nchi hii kuwa mkulima.
sawa mkuu 👏
 
Mimi ni Mwalimu na mkulima, na mfanyabiashar,kwa kazi Yaa ualimu Hana sababu ya kuacha ,,,kazi inatoa muda mwingi,Mimi nalima kiazi na parachichi, na Sasa nimefungua shamba la kahawa makete mbona namudu vizuri tu , ualimu haunipi pesa unanisaidia niwe msafi na nadhifu
Hiyo kahawa unalima wapi
 
Back
Top Bottom