proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
[emoji848]Ukitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]Ukitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
Ni akili kujiamini bidii na bahati wakati mwingine vinaambatanaMwambie akae mwaka mmoja bila kwenda benki kuchukua mshahara. Akiweza kuishi vizuri aache kazi.
Ukweli m180 mashamba na trekta ni mtaji mkubwa. Ila inawezekana mshahara unaplay part katika kufanya hizo mali zisurvive.
Mimi hata m50 tu ualimu kwa heri
[emoji848][emoji848] kama ni cha online aendelee na kazi ya ajira kama ni reality atumie hizo vizuri kwa kujitoa risk na kufanya mengineMil 180 ni kilimo chenyewe kabisa au ni hiki kilimo cha online? Cha mpapai mmoja unazaa mapapai 20 ukipanda mipapai 20 una mapapai 4000 ukiuza sokoni kila papai unapata milion 2 ukitoa labda garama zako laki 1 unabaki na milion 3, ndio hiki???
nalo nenoAchukue likizo ya bila malipo kwa miaka miwili hadi mitatu akafanye kilimo, kikimshinda arudi alipoishia kwenye ualimu
usikute analima kilimo cha online na anatuchota akili huyu mtu sio bureAisee na mimi nimefikiria kama wewe na ninachofikiria huenda ni hadithi ya kufikirika. Hilo suala lilikua sio la kufikiria mara mbili bali au kuja kuuliza uliza hapa bali ni kuchukua maamuzi tuu kama msomi
Ikiwa Kazi hiyo ya Walimu ni kikwazo ktk shughuli zake za Kilimo kwa asilimia kubwa Kiasi cha kutishia Project yake,hapo sawa,Tofauti na hapo apige shughuli zote.Apange tu ratiba zake Vizuri.Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Hizo ni kauli za watu waliojikatia tamaa na hawana fikra pevu.Ukitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
Masikini huwa hatuamini hata km tukiambiwa Kuwa Mwenzetu amevuna pesa nyingi Kwenye shughuli fulani,muda wote huwa tunahisi tunadanganywa.Mbona hela ya Kawaida mzee.Hizo ni story za kufunga Tu mkuu.
In general vitu vingi maishani havitabiliki.Asiache kazi kwanza.
Kilimo hakitabiriki.
SishauriWadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Hahaa, jaman mnaosema 180m labda kilimo cha onlineKama ana uwezo wa kuingiza milioni 180 kwa msimu mmoja tu wa kilimo (miezi 6) ana haja gani ya kuendelea kuwa mtumwa wa mshahara wa miloni 7 kwa mwaka mzima?
Kumbuka hakuna tofauti kati ya mwalimu na mwanafunzi ..wote mnaamka alfajiri, wote mnakesha usiku kujisomea n.k sasa hayo maisha si yanachosha
Mkuu hapo napingana na wewe. Shida ukilima kwa mazoea (kutegemea mvua, kulima eneo dogo na kulima kwa ajili ya kujikimu). Lakini kama unafanya kilimo cha kisasa unatoboa sana tu.Ukitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
nani kakudanganya mkuu Masanja analima, Mo analima, hata matajiri wengi tu wanalima sasa namuamini aliesema ukitaka mali utazipata shambaniUkitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
nani kakudanganya mkuu Masanja analima, Mo analima, hata matajiri wengi tu wanalima sasa namuamini aliesema ukitaka mali utazipata shambani
sawa mkuu 👏Masanja ana hela gani?
Unafananisha kilimo Cha Mo mwenye heka zaidi ya moja na biggest sisal producer duniani na wewe mwenye hela 2 na kutegemea mvua? Jichanganye ufurahie show.
Ukitaka kuwa fukara nchi hii kuwa mkulima.
Hiyo kahawa unalima wapiMimi ni Mwalimu na mkulima, na mfanyabiashar,kwa kazi Yaa ualimu Hana sababu ya kuacha ,,,kazi inatoa muda mwingi,Mimi nalima kiazi na parachichi, na Sasa nimefungua shamba la kahawa makete mbona namudu vizuri tu , ualimu haunipi pesa unanisaidia niwe msafi na nadhifu