Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

Aangalie penye kipato kikubwa, japo ni risk ila ajue wengi waliofanikiwa ni kwa "kuthubutu" . Matajiri wengi walijiajiri. Ni nadri kuwa tajiri kwa ajira. Nakushauri piga chini ualimu na ujikite kwenye kilimo.
 
Mwalimu MARCH, JUNE, SEPTEMBER NA DECEMBER ana mapumziko watoto wakifunga nae automatic anapumzika mbona ni muda mzuri tu wa kufanya shughuli za shamba. Au shamba linamuhitaji siku 365 na masaa yake???
Bado kuna zile off off unazoweza kuamua kujipa mwenyewe, ukiwa vizuri na mkuu wako unaweza....au basi .

Mimi kama mimi ningemwambia aendekee na shamba huku anaendelea kupata huo mshahara
 
Upate mil 180 halafu uendelee kusubiria take home ya 640k?
Mkuu hizi ajira za tamisemi ni maalumu kwa sisi watoto wa masikini
 
Mil 180 ni kilimo chenyewe kabisa au ni hiki kilimo cha online? Cha mpapai mmoja unazaa mapapai 20 ukipanda mipapai 20 una mapapai 4000 ukiuza sokoni kila papai unapata milion 2 ukitoa labda garama zako laki 1 unabaki na milion 3, ndio hiki???
 
Mwalimu MARCH, JUNE, SEPTEMBER NA DECEMBER ana mapumziko watoto wakifunga nae automatic anapumzika mbona ni muda mzuri tu wa kufanya shughuli za shamba. Au shamba linamuhitaji siku 365 na masaa yake???
Bado kuna zile off off unazoweza kuamua kujipa mwenyewe, ukiwa vizuri na mkuu wako unaweza....au basi .

Mimi kama mimi ningemwambia aendekee na shamba huku anaendelea kupata huo mshahara
Mkuu mashulen Kuna kitu linaitwa remidial, wakifunga mwalimu anatakiwa kufundisha Tena! Na nnavyohc kaz za shamba znamambo meng znataka usimamiz pia kashikash na vitisho kazn ni nyng kuanzia wenyeviti wa vitongoj, wa vjj, wanakijij, watendaj, afsa elimu kata bado wa wilaya! Kiufupi ucpime
 
Yani remedial ndio inakufanya ushindwe kufanya mambo yako?? Cha muhimu timiza majukumu kwa kufundisha vipindi vyako....usipokuwepo hakikisha kuna mtu walau umemuachia kucover....ualimu ni kazi ambayo ina muda sanaaaa yani muda mwingi ni mapumziko ni vile tu hela nje ya mshahara hamna....kilimo ni msimu mshahara upo tu tena wa serikali uhakika

Mwisho wa siku fanya unachoona kama kilimo kinakutoa zaidi hamia mkuu
 
Nmekupata kamanda
 
Mil 180 ni kilimo chenyewe kabisa au ni hiki kilimo cha online? Cha mpapai mmoja unazaa mapapai 20 ukipanda mipapai 20 una mapapai 4000 ukiuza sokoni kila papai unapata milion 2 ukitoa labda garama zako laki 1 unabaki na milion 3, ndio hiki???
Mpunga ekari Moja inatowa kuanzia Gunia 25-30 , kama kalima ekari 50-70 ukizidisha mara guniia 15 Kwa hizo ekari na Bei za Mpunga mwaka Jana na mwaka huu imelipa sana , hiyo unapata Shambani inategemea na mwaka ulivyo. Mwaka huu Mahindi Bado yapo Shambani Bei ni 90,000/= kama mtu ana ekari zake 120 Mahindi hakosi Gunia 1000/= mwaka huu Kuna badhii ya maeneo mavuno ni mazuri , kilimo ni timing tu na bahati , huu mwaka piya watu watapiga Hela sana mashambani
 
Yani remedial ndio inakufanya ushindwe kufanya mambo yako?? Cha muhimu timiza majukumu kwa kufundisha vipindi vyako....usipokuwepo hakikisha kuna mtu walau umemuachia kucover....ualimu ni kazi ambayo ina muda sanaaaa yani muda mwingi ni mapumziko ni vile tu hela nje ya mshahara hamna....kilimo ni msimu mshahara upo tu tena wa serikali uhakika

Mwisho wa siku fanya unachoona kama kilimo kinakutoa zaidi hamia mkuu
 
Kama akiweza tu afanye vyote maana kwenye kilimo asitegemee sana maana ni kama vile kubet tu simba na yanga. Yaani apo cha umuhimu tu ni kwamba afanye vyote atakuja kunishukuru tu. Siku hiz mambo sio kuangalia au kubase kwenye upande mmoja unabidi uwe kila mahali ndo maisha yasimqme
 
Saiv anafanya mandalz y kuvuna.
Mpunga ekari Moja inatowa kuanzia Gunia 25-30 , kama kalima ekari 50-70 ukizidisha mara guniia 15 Kwa hizo ekari na Bei za Mpunga mwaka Jana na mwaka huu imelipa sana , hiyo unapata Shambani inategemea na mwaka ulivyo. Mwaka huu Mahindi Bado yapo Shambani Bei ni 90,000/= kama mtu ana ekari zake 120 Mahindi hakosi Gunia 1000/= mwaka huu Kuna badhii ya maeneo mavuno ni mazuri , kilimo ni timing tu na bahati , huu mwaka piya watu watapiga Hela sana mashambani
Kaka wew mzoefu Sana na kilimo, wengne wamejawa na hofu kuhusu kilimo lakn Kuna watu wanamiliki hela kuptia kilimo! Kanuni yao ni kutokuuza mazao yao msimu wa mavuno pili Kam mwaka hayana Bei anakaa nayo ad mwaka unaofatia yanakutana mavuno ya misimi miwl sku Bei ikipanda huyo mtu sio mwenzako tena
 
IMG_20230428_171626_153.jpg
 
Attachments

  • IMG_20230428_180209_114.jpg
    IMG_20230428_180209_114.jpg
    1.7 MB · Views: 31
Back
Top Bottom