Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ndiyo...Mkuu, Kwan ww ukiombwa ushaur huwa unawaachia wenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo...Mkuu, Kwan ww ukiombwa ushaur huwa unawaachia wenyewe?
mwenyewe bado sielewi anaomba ushauri upiUnamaanisha kwamba hajui hesabu au. Yani mtu anamiliki trekta na ekari zote hizo, tena umesema kuna mvua ya uhakika. Amevuna guni ulizotaja na baada ya kuuza kapata pesa inayozidi kiinua mgongo cha mwalimu kwa sasa. Halafu bado hajajua afanye nini? Ama kweli akili ni nywele, kila mmoja kapewa zake!
mwambie aendelee kugombania posho za kusimamia na kusahihisha mitihani.
mi nliacha kazi na mil 6 benk... na siji kuajiriwa tenaMwambie akae mwaka mmoja bila kwenda benki kuchukua mshahara. Akiweza kuishi vizuri aache kazi.
Ukweli m180 mashamba na trekta ni mtaji mkubwa. Ila inawezekana mshahara unaplay part katika kufanya hizo mali zisurvive.
Mimi hata m50 tu ualimu kwa heri
Na ukitaka tajiri?
Zipo ndogo Hadi 6M ila nzuri ni zile kubwa za kuanzia 24M plus , asiogope hizo mashine anaweza kukopa hata ya 50M na Bado akabaki na mtaji wake, namshauri aende Benki ya Kilimo watamsadia sana kumshauri na kumpa mkopo, kigezo Chao Cha kupata mtambo wa kusindika Mpunga uwe na Shamba ekari kuanzia 70 wanakumpa Mkopo wa Trecta , wanakujengea warehouse store/ Godauni, Riba ya ni 10% Kwa mwaka, au waone NMB agribusiness department au Nenda EFTA wanatoa mikopo ya matrecta na mitambo bila Dhamana una Deposit25% ya gharama kamili ya chombo husika ribs 16%Hiz za kukoboa mpunga size ndogo inaeza kuwa Bei gan
mimi niliacha ajira ya ualimu nikiwa na take home ya mwezi mmoja, na sijawahi juta kuingia kwenye kilimo. Nadhani nafsi yake bado haijawa na nia ya kuacha ualimumwenyewe bado sielewi anaomba ushauri upi
Kaa mbali na kilimo.
Kaka Hawa efta unawapelekea list ya mitambo kama lengo ni mashine za kukoboa mpunga, kukoboa mahind na kusaga mahind Kisha wanafanya hesabu wanakulipia kwa ww kulpa 25% km malipo y kwanza au za kusaga hazihusiki ni y kukoboa mpunga tu?Zipo ndogo Hadi 6M ila nzuri ni zile kubwa za kuanzia 24M plus , asiogope hizo mashine anaweza kukopa hata ya 50M na Bado akabaki na mtaji wake, namshauri aende Benki ya Kilimo watamsadia sana kumshauri na kumpa mkopo, kigezo Chao Cha kupata mtambo wa kusindika Mpunga uwe na Shamba ekari kuanzia 70 wanakumpa Mkopo wa Trecta , wanakujengea warehouse store/ Godauni, Riba ya ni 10% Kwa mwaka, au waone NMB agribusiness department au Nenda EFTA wanatoa mikopo ya matrecta na mitambo bila Dhamana una Deposit25% ya gharama kamili ya chombo husika ribs 16%
Kwanini?Ukitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
Kwanini?
Vipi na wale wanaojinasibu kuwa kilimo ndo kimewatoa?Sababu kilimo hakilipi.
Yeye mwenyewe amejituma eti mwezakeWewe umemshaurije?
Sawa tuu awamu ya 6 kilimo.kinalipa na kilimo ni biashara inaweza kukupa pesa nyingi za haraka na Kwa pamoja ukapata mtaji tofauti na hizo kazi za kupimiwa level zako za maisha.Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Aingie shamba asiogope.. ajira haijamaliza Kila kitu kwenye maisha. Mm mzee wangu pale Masaki Dr. Xxxxxxx ameacha kazi Ocean road pale udaktari na amejikita kwenye kampuni yake na biashara zake. Hata wabunge wenyewe wanasubiri mana amefungua ofisin mpaka UgandaWadau nipo kwa niaba.