92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Tatizo limeanzia pale alipokua mwalimu kiufupi anaweza kua njema ila asione waalimu ni useless akili hawana kabisa.Unamaanisha kwamba hajui hesabu au. Yani mtu anamiliki trekta na ekari zote hizo, tena umesema kuna mvua ya uhakika. Amevuna guni ulizotaja na baada ya kuuza kapata pesa inayozidi kiinua mgongo cha mwalimu kwa sasa. Halafu bado hajajua afanye nini? Ama kweli akili ni nywele, kila mmoja kapewa zake!
mwambie aendelee kugombania posho za kusimamia na kusahihisha mitihani.