General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 693
Achukue likizo ya bila malipo kwa miaka miwili hadi mitatu akafanye kilimo, kikimshinda arudi alipoishia kwenye ualimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee na mimi nimefikiria kama wewe na ninachofikiria huenda ni hadithi ya kufikirika. Hilo suala lilikua sio la kufikiria mara mbili bali au kuja kuuliza uliza hapa bali ni kuchukua maamuzi tuu kama msomiUnamaanisha kwamba hajui hesabu au. Yani mtu anamiliki trekta na ekari zote hizo, tena umesema kuna mvua ya uhakika. Amevuna guni ulizotaja na baada ya kuuza kapata pesa inayozidi kiinua mgongo cha mwalimu kwa sasa. Halafu bado hajajua afanye nini? Ama kweli akili ni nywele, kila mmoja kapewa zake!
mwambie aendelee kugombania posho za kusimamia na kusahihisha mitihani.
Ujue moyo unaeza kukuelekeza kumbe pabovu mkuu
Mkuu natamani kuja inbox kidogo nipate experience yakomi nliacha kazi na mil 6 benk... na siji kuajiriwa tena
Mkuu naomba nkuchek PmZipo ndogo Hadi 6M ila nzuri ni zile kubwa za kuanzia 24M plus , asiogope hizo mashine anaweza kukopa hata ya 50M na Bado akabaki na mtaji wake, namshauri aende Benki ya Kilimo watamsadia sana kumshauri na kumpa mkopo, kigezo Chao Cha kupata mtambo wa kusindika Mpunga uwe na Shamba ekari kuanzia 70 wanakumpa Mkopo wa Trecta , wanakujengea warehouse store/ Godauni, Riba ya ni 10% Kwa mwaka, au waone NMB agribusiness department au Nenda EFTA wanatoa mikopo ya matrecta na mitambo bila Dhamana una Deposit25% ya gharama kamili ya chombo husika ribs 16%
Nina haya ya kumshauri;Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Aendelee na kazi mpaka atpostaafu, maana ndio ilionfikisha alipo,asubiri tuu kustaafu kwa rahaWadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Kama mm ningekua yeye kwanza hiyo mil 180 ningeitupia Utt mfuko wa liquid then nikaenda bank nikachukua mkopo wa hiyo hela ambapo wangenipa 80% ya mil 180 ambayo ni kama mil 140 nikaacha utt na bank walipane marejesho huku nikijua wakimaliza pesa yangu mil 180 ipo palepale.sasa basi huo mkopo wa mil 140 ningehakikisha nahakikisha nawekeza ktk maji kupatikana shamban sabab nikiwa na trekta + maji nakua sina hofu tena so kama kisima ningechimba au kuvuna maji ningevuna.then nikalima ekari 100 na ekar 100 zingine ningekodisha pesa ya kukodisha ndo ingesaidia kuhudumia shamba ninalolimaWadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Na hapa ndipo wahindi wanapotuzidi! Hata angeuza akapata 100m ingetosha kuacha ualimuUnamaanisha kwamba hajui hesabu au. Yani mtu anamiliki trekta na ekari zote hizo, tena umesema kuna mvua ya uhakika. Amevuna guni ulizotaja na baada ya kuuza kapata pesa inayozidi kiinua mgongo cha mwalimu kwa sasa. Halafu bado hajajua afanye nini? Ama kweli akili ni nywele, kila mmoja kapewa zake!
mwambie aendelee kugombania posho za kusimamia na kusahihisha mitihani.
Unajua Milioni 180 Kuna laki 6 ngapi? Kuna laki 6 mara 300! Yaani hiyo pesa +assets hata msimu uwe mbaya akivuna akauza akapata 40m ukitoa gharama faida ikabaki 20m ni nyingi kwa mwaka ambapo kwenye ualimu kwa mwaka anapata 6mAsiache kazi kwanza.
Kilimo hakitabiriki.
Kimsingi huyu jamaa ni tajiri, I wish ningekuwa yeye Wala nisingeomba ushauri kwa yeyote! Kesho ningewasilisha barua ya kuacha kazi 24hrsWadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Naomba mawasiliano yako,mm yangu ni 0659985018mimi niliacha ajira ya ualimu nikiwa na take home ya mwezi mmoja, na sijawahi juta kuingia kwenye kilimo. Nadhani nafsi yake bado haijawa na nia ya kuacha ualimu
Acha uongo wako hivi unafikiri kulima ekari 200 ni mchezo?Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni
Kwa ww unahisi kulima heka ngap ndio mchezo?Acha uongo wako hivi unafikiri kulima ekari 200 ni mchezo?