Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yalinyooka kupitia mke huyo au mwingine?Kuna mwanamke ukioa anakuja na mikosi. Kuna mjomba mmoja alioa mke wakapata tabu kwelikweli wakaishi Vingunguti mvua ikinyesha wanachota maji chumbani. Yule mjomba akaachishwa kibarua akaanza kuomba tag kwa washkaji zake madereva wa magari. Akawa analalamika tangu aoe amefeli maisha.
Baadae mambo yalikuja kunyooka kupitia mke wake. Ndio wakaanzisha biashara mume ana ya kwake na mke ana kazi, wakajenga na wana watoto wanaishi middle income ada za watoto private school hazipigi chenga wala bills hazisumbui na bata hazikosekani. La saba B couple
Huko ndo nuksi zaidi kama utaenda kwa hawa manabii feki. Mimi nashauri lifanyike tambikoTukiwapeleka kwenye nyumba za ibada, nuksi haziwezi zikatolewa mkuu.?
Ndo anguko lao lilipoVijana wa siku hizi huwaambii kitu kuhusu manabii wa sasa.