Kuna mwanamke ukioa anakuja na mikosi. Kuna mjomba mmoja alioa mke wakapata tabu kwelikweli wakaishi Vingunguti mvua ikinyesha wanachota maji chumbani. Yule mjomba akaachishwa kibarua akaanza kuomba tag kwa washkaji zake madereva wa magari. Akawa analalamika tangu aoe amefeli maisha.
Baadae mambo yalikuja kunyooka kupitia mke wake. Ndio wakaanzisha biashara mume ana ya kwake na mke ana kazi, wakajenga na wana watoto wanaishi middle income ada za watoto private school hazipigi chenga wala bills hazisumbui na bata hazikosekani. La saba B couple