Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Kwanza hii app ya tagged ndo naanza kuofatilia hapa na mimi nipate mshangazi kama huu aiseee mbona mambo ni simple hivi kumbe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Oooh Lord!
 
Miaka hiyo naanza maisha nilipanga chumba na sebule, miezi 6 sina chochote zaidi ya jiko, vyombo viwili vitatu vya kupikia na godoro tu naliweka chini nalala...
Wanawake wa kila aina kila umri nilikuwa nawaleta nawatombah vzuri tu na wanarudi tena na tena...
Nilikuwa nina confidence sana labda ndicho walichonipendea, na sikuona aibu kuwaleta ninapo ishi...
Wanawake ni wapuuzi sana walikuwa wanadhani nimeamua tu kulala chini na godoro langu, walisema ninajifanyisha sina hela naishi maisha simple πŸ˜…πŸ˜‚
Katika hii dunia hakuna kiumbe dhaifu kiakili kama mwanamke, ukimuogopa au ukimuonea aibu mwanamke hufai kuwa mwanaume...
 
Mwache aje... kama anakupenda wewe itaeleweka kama anataka mali pia itaeleweka.
 
Kama unajua kulia piga simu Lia kinyama sema wezi wamesafisha chumba usiku wa kuamkia Leo na wamekuachia whatever kimebaki geto,na utaje pia kuwa wamekuachia Hilo godoro ulimi.
Utashangaa anakujazia zaga ndani... jiamini kiyana
 
ikiwa wewe unaingia mara kumi kwake kwa ufukara ulionao basi naye huyo demu ni fukara tu,aje usimuogope fukara mwenzako
 
Eveything starts from Zero ilimradi Pambana utatotoboa tu

Kila la kheri katika kuinuka kimaisha
Natamani aelewe hili tena aelewe sanaa
Sema ndio hivyo JF ni kutojulikana ila kuna sisi ...
Tulianza kulala chini na sasa tunamiliki nyumba
Tulianza na biashara mtaji mil 5 na sasa tuna miliki biashara kubwa.

Everything starts down down the floor..!!!

#YNWA
 
Confidence ya nini totoo?
Daaah πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kuna watu ni wakorofi sana hasa wewe hapo l..
Mi sio totoo mi ni above 20 aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…