Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙆🙆🙆🙆Kwanza hii app ya tagged ndo naanza kuofatilia hapa na mimi nipate mshangazi kama huu aiseee mbona mambo ni simple hivi kumbe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
OSahihi kabisa, akijiweza tuu anasema aliibiwa simu.
Mwache aje... kama anakupenda wewe itaeleweka kama anataka mali pia itaeleweka.Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa tagged sasa tukaongeaa mengi kama wiki kadhaa nyuma ila nikawa ngumu kuonana unajua kazi tena
Sasa leo nimepata time nzuri nikaenda kwake kwa mara ya kwanza tukaonana live sasa kiukweli kajipanga ako vizuri kimaisha yaan mm labda naingia mara hata 10 ivi tulaongea mm nikaamua kusepa sasa kasema kesho anakuja kwangu na mm hata godoro nikale kadogoo nalala chini sijajipata poa sasa jee kesho ajeee au nimpotezeee atakuja kunidharau nishaurini wazee wa JF
😁😁😁!Mleta mada aweke picha...
Weka namba tukuchangie kijana wetu usituabishe wakuu wako huko ughaibuni KenyaMimi ni kijana wenu
ikiwa wewe unaingia mara kumi kwake kwa ufukara ulionao basi naye huyo demu ni fukara tu,aje usimuogope fukara mwenzakoMimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa tagged sasa tukaongeaa mengi kama wiki kadhaa nyuma ila nikawa ngumu kuonana unajua kazi tena
Sasa leo nimepata time nzuri nikaenda kwake kwa mara ya kwanza tukaonana live sasa kiukweli kajipanga ako vizuri kimaisha yaan mm labda naingia mara hata 10 ivi tulaongea mm nikaamua kusepa sasa kasema kesho anakuja kwangu na mm hata godoro nikale kadogoo nalala chini sijajipata poa sasa jee kesho ajeee au nimpotezeee atakuja kunidharau nishaurini wazee wa JF
Natamani aelewe hili tena aelewe sanaaEveything starts from Zero ilimradi Pambana utatotoboa tu
Kila la kheri katika kuinuka kimaisha
😂😂😂😂 Kuna nini kwani.🙆🙆🙆🙆
Oooh Lord!
Tafuta watoto wenzio bwana😂😂😂😂 Kuna nini kwani.
Mbona umenistua au jau
Unakosea unavosema hivo..Tafuta watoto wenzio bwana
Confidence ya nini totoo?Unakosea unavosema hivo..
Nakosa confidence ujue..😂😂😂🙌🙌🙌
Daaah 😂 😂 😂Confidence ya nini totoo?