Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Miaka hiyo naanza maisha nilipanga chumba na sebule, miezi 6 sina chochote zaidi ya jiko, vyombo viwili vitatu vya kupikia na godoro tu naliweka chini nalala...
Wanawake wa kila aina kila umri nilikuwa nawaleta nawatombah vzuri tu na wanarudi tena na tena...
Nilikuwa nina confidence sana labda ndicho walichonipendea, na sikuona aibu kuwaleta ninapo ishi...
Wanawake ni wapuuzi sana walikuwa wanadhani nimeamua tu kulala chini na godoro langu, walisema ninajifanyisha sina hela naishi maisha simple 😅😂
Katika hii dunia hakuna kiumbe dhaifu kiakili kama mwanamke, ukimuogopa au ukimuonea aibu mwanamke hufai kuwa mwanaume...
 
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa tagged sasa tukaongeaa mengi kama wiki kadhaa nyuma ila nikawa ngumu kuonana unajua kazi tena

Sasa leo nimepata time nzuri nikaenda kwake kwa mara ya kwanza tukaonana live sasa kiukweli kajipanga ako vizuri kimaisha yaan mm labda naingia mara hata 10 ivi tulaongea mm nikaamua kusepa sasa kasema kesho anakuja kwangu na mm hata godoro nikale kadogoo nalala chini sijajipata poa sasa jee kesho ajeee au nimpotezeee atakuja kunidharau nishaurini wazee wa JF
Mwache aje... kama anakupenda wewe itaeleweka kama anataka mali pia itaeleweka.
 
Kama unajua kulia piga simu Lia kinyama sema wezi wamesafisha chumba usiku wa kuamkia Leo na wamekuachia whatever kimebaki geto,na utaje pia kuwa wamekuachia Hilo godoro ulimi.
Utashangaa anakujazia zaga ndani... jiamini kiyana
 
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa tagged sasa tukaongeaa mengi kama wiki kadhaa nyuma ila nikawa ngumu kuonana unajua kazi tena

Sasa leo nimepata time nzuri nikaenda kwake kwa mara ya kwanza tukaonana live sasa kiukweli kajipanga ako vizuri kimaisha yaan mm labda naingia mara hata 10 ivi tulaongea mm nikaamua kusepa sasa kasema kesho anakuja kwangu na mm hata godoro nikale kadogoo nalala chini sijajipata poa sasa jee kesho ajeee au nimpotezeee atakuja kunidharau nishaurini wazee wa JF
ikiwa wewe unaingia mara kumi kwake kwa ufukara ulionao basi naye huyo demu ni fukara tu,aje usimuogope fukara mwenzako
 
Eveything starts from Zero ilimradi Pambana utatotoboa tu

Kila la kheri katika kuinuka kimaisha
Natamani aelewe hili tena aelewe sanaa
Sema ndio hivyo JF ni kutojulikana ila kuna sisi ...
Tulianza kulala chini na sasa tunamiliki nyumba
Tulianza na biashara mtaji mil 5 na sasa tuna miliki biashara kubwa.

Everything starts down down the floor..!!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom