Kuwa serious na pesa.Hahaha haha kwaiyoo kama huna godoro huoaswi kuwa seriously na mtu
Maana una 25🤣🤣🤣🤣Nacheka lakini naogopa
Be a man, uhalisia ndio maisha yetu. Asiporidhika sio riziki yakoKweli wacha ajee akiniacĥ poa tu
Sio sikipaswaa mm geto langu kabisa lipo hapo tageta kibo huku nina miezi 5 tuu bado sijaseto kiivyooo ningekuwa bongo nisingeomba ushauriKuwa serious na pesa.
Si unaona unakuja kuomba ushauri kwa vitu ambavyo kwa umri huo hukupaswa!!
Achana na mademu ,watakupuna hata hicho kidogo unachodundulizaSio sina pesa ila ndio najitafutaaa mkuu
We ushakua Mtu mzima acha kujidogosha,Hahaha sio kinda sasa miaka 31 ni kindaa kweli
Katika kitu kila nkisema nimuulize mama afu nasahau ni umri wangu...ko Hata mm mwenyewe sijui umri wanguMaana una 25🤣🤣🤣🤣
Wala usijali, umri wako unajulikana🤣Katika kitu kila nkisema nimuulize mama afu nasahau ni umri wangu...ko Hata mm mwenyewe sijui umri wangu
Hamna anaejua lete evidence ili nikae kimyaWala usijali, umri wako unajulikana🤣
Hata sisi hatujui tufanyeje labla mpigie simu mwambie umekufa ili Ushauri