Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Ishi uhalisia wako, unaweza kuta hata hayo mawazo unayomfikiria hana. Ukisema umdanganye utadanganya mpaka lini?
 
Kuwa serious na pesa.
Si unaona unakuja kuomba ushauri kwa vitu ambavyo kwa umri huo hukupaswa!!
Sio sikipaswaa mm geto langu kabisa lipo hapo tageta kibo huku nina miezi 5 tuu bado sijaseto kiivyooo ningekuwa bongo nisingeomba ushauri
 
Kama wakati unamtongoza ulijipakulia minyama kuwa upo njema, bas umeumbuka. Ila km ulikuwa really bc sio tatizo mwache aje, huenda ikawa ndo njia yko y mafanikio
Sawa mkuu mm sijajisifu kwake
 
Tafuta namna kumkwepa alafu baada ya wiki mwambie wezi wamekomba kila kitu,jiongeze na mengine
 
Acha aje kama anakupenda kweli ndo atazidi kukupenda kwa kuwa real.
 
Back
Top Bottom