Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Kasema atakuja sasa mm nawaza maisha ya geto sio poa na yeye yuko vizur mno maan kwa upèlelezi wangu anafanya kazi safarcom
akipiga simu apokee mdada mwengine hapo hatakuja,yani huyo mdada ye apokee tu aongeenae kawaida aseme wewe mwenye simu haupo! halafu iache iive yenyewe...😂
 
Tumia akili! Hatuishi dunia ya romeo and Juliet mwambie hujajipanga so in brief huna ata getto wala sehem ikiwezekana sema uko kwene process kutoka kwa rafiki yako uishi mwenyew so huna pahala pako unapo ita makazi..

Tumia busara si hisia tumia akili sio kichwa ..

Tengeneza mazingira kaishi nae wakat unajipanga usi tunishe misuli na ikiwa una mifupa

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom