Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Huo ndiyo uhalisia wa maisha yako huenda ukawa ndiyo mwanzo wa mafanikio yako.
Ishi kiuhalisia, kama hauna hauna tu
Ishi kiuhalisia, kama hauna hauna tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisi hatujui tufanyeje labla mpigie simu mwambie umekufa ili asije
Akijipata anasema aliibiwa simuDah yani kwa huu ushauli ni kiboko na nusu
akipiga simu apokee mdada mwengine hapo hatakuja,yani huyo mdada ye apokee tu aongeenae kawaida aseme wewe mwenye simu haupo! halafu iache iive yenyewe...😂Kasema atakuja sasa mm nawaza maisha ya geto sio poa na yeye yuko vizur mno maan kwa upèlelezi wangu anafanya kazi safarcom
Kapime hospitali tengeneza dharura au ugumu wowote ule wa kukutana katika uwanja wako wa nyumbani ili umtafunie lodge!!!Sasa kapanga ajee kesho tupime ndio tutafunane na Ana lala kabisaa