Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Aje tu ajue uhalisia wa maisha yako utafake hadi lini? Kwani ukiwa mkweli utapungukiwa nini?
 
Kapime hospitali tengeneza dharura au ugumu wowote ule wa kukutana katika uwanja wako wa nyumbani ili umtafunie lodge!!!

Ila mzee mbona huyo dada anafastisha hvo, issue ni upwiru tu au pana lingine zaidi ya hapo
Kivip mzee
 
tumia busara si hisia tumia akili sio kichwa ..
tengeneza mazingira kaishi nae wakat unajipanga usi tunishe misuli na ikiwa una mifupa
Nishamwambia niko kwangu kaka na hata nimefik nimempigiaa kapokea poa
 
Nani kakwambia ni mtoto Mtu kavuka Namanga kaingia ardhi ya Ruto bado unaamini ni mtoto?

Kikubwa muelekeze dogo namna ya kuchota maji bila kuchafua kisima
Niko na miaka 31 mm wa 1994
 
Kitendo cha kutumia hivo vineno sijui ako. Alafu ww ni kijana mtanzania, nikwambie tu, shukuru umenunua godoro hapo mombasa. Hutonunua kitanda ukiweza mblock, ww sio type yake.
 
Yanazungumzika haya! Kuwa wazi huenda ndio mlango wa kutokea huo.
Mueleze hali halisi akikuacha basi poa tu
 
Back
Top Bottom