Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo ulipokosea, huyu bado ni mtoto muacheni akue kwanza.Kijana hakikisha unamtafuna kwanza ndo umruhusu aje aone godoro yako ndogo kama ya hostel za high school.....usimfanyie drama za kitoto mwanamke wa umri huo yuko matured kua mwanaume
Mengine Atoto ataongezea
hapo kwako we kwangu si umekujaUtakuja wap sasa
Tafuta watoto wenzio.Kwann sasa
Nani kakwambia ni mtoto Mtu kavuka Namanga kaingia ardhi ya Ruto bado unaamini ni mtoto?Hapo ndipo ulipokosea, huyu bado ni mtoto muacheni akue kwanza.
kabisa ni wasiwasi wake tu mi nipo tayari,,nikishindwa nitamnunuliaUpo tayari kulala chini hvy kijana asiwe na shaka 😂
Bado mtoto huyo.Nani kakwambia ni mtoto Mtu kavuka Namanga kaingia ardhi ya Ruto bado unaamini ni mtoto?
Kikubwa muelekeze dogo namna ya kuchota maji bila kuchafua kisima
Kijana anakwama wapi wakati lishangazi ni muelewa mnokabisa ni wasiwasi wake tu mi nipo tayari,,nikishindwa nitamnunulia
Tafuta wa kuanzia 18 - 25. Hao ndio size yako.Sasa watoto wann mkuu mm niko na 31
ana hofu tuKijana anakwama wapi wakati lishangazi ni muelewa mno
nakosaje jaman nikiona hapafai namleta akae kwanguhuyo hapo keshasema atakuja...😃
kuja au kutokuja inategemea unamalengo gani nae,so hilo lako.