Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

MWAMBIE BI DADA ADAI TALAKA HARAKA SANA AENDE HUKO ANAKOPEWA ASALI. MSELA ATAPATA TU ATAKAYEMUELEWA ISIWE SHIDA
 
Mwanamke mwenzenu anataka kukunwa vizuri na ex wake na huku anataka pesa za mumewe ambaye hamkuni vizuri😂😂

siyo kwamba tunawaita malaya kwasababu ya kuridhisha nafsi zetu, ni kwasababu ndivyo mlivyo.
 
Huyo ni shetani ndo anayemsumbua hata apeww johnny sins hatoridhika,
 
Mwanamke mwenzenu anataka kukunwa vizuri na ex wake na huku anataka pesa za mumewe ambaye hamkuni vizuri😂😂

siyo kwamba tunawaita malaya kwasababu ya kuridhisha nafsi zetu, ni kwasababu ndivyo mlivyo.
Amesema anataka kumuacha mume aende kwa ex. Kama inampendeza afanye hivyo..
Kama ndivyo tulivyo malaya basi Mungu katuumba hivyo..hatuwezi kubadilika. Wakati sasa umefika mkubali kwamba umalaya upo ndani yetu na hatuna means ya kujirekebisha.
Malalamiko kayapelekeni kwa muumba wenu.
 
Kuua si dhambi Kwa Binadamu Design Hii.
 
Kama ulichoandika ni kweli umeshafungua code kwa 80% sasa jamaa akipita huku huyo dada kwisha habari yake.... akifika ahera madukani amsalimie sana Amina chifupa na Dida nimewamisi sana dada zangu wale
 
Malizia kusoma pale chini, "Kwa upande mwingine huduma za mumewe bado anazihitaji"

Anazihitaji kwasababu, huyo ex wake hana, zaidi ya kumkuna vizuri na kumpenda. Sasa hapo, Kuna pesa,upendo wa kweli na ukuni.

Achague moja Ili tuseme siyo malaya.
 
Inasikitisha sana, wanawake wamekuwa serial cheaters na hawajali namna wanavyoliwa na kila mtu.
 
Malizia kusoma pale chini, "Kwa upande mwingine huduma za mumewe bado anazihitaji"

Anazihitaji kwasababu, huyo ex wake hana, zaidi ya kumkuna vizuri na kumpenda. Sasa hapo, Kuna pesa,upendo wa kweli na ukuni.

Achague moja Ili tuseme siyo malaya.
Ni kweli achague moja.
 
Aisee kumbe bora ujue kutomber viziri kuliko kuwa na pesa.
Kelsea Joannah Aaliyyah Lamomy nisameeni nikikuwa nawashangaa kwa nini mnakataa kibamia wakati hela ninayo sasa nimewaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…