Guardiola
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 406
- 936
Ni haki sawa tu
Dada tuliza hiyo nyama
Hua inakera na kupoteza mvuto mkifanywa sana sema hua hatuwaambii tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki sawa tu
Swali zuriSasa kwanini hakuolewa naye maana kakutana naye kabla huyo mme wake.
MWAMBIE BI DADA ADAI TALAKA HARAKA SANA AENDE HUKO ANAKOPEWA ASALI. MSELA ATAPATA TU ATAKAYEMUELEWA ISIWE SHIDADada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
😂😂😂😂Dada tuliza hiyo nyama
Hua inakera na kupoteza mvuto mkifanywa sana sema hua hatuwaambii tu.
Mwanamke mwenzenu anataka kukunwa vizuri na ex wake na huku anataka pesa za mumewe ambaye hamkuni vizuri😂😂Mnavyomwitaga mwanamke malaya ni ili aumie au ni kujiridhisha tu nafsi zenu? Wengi tu mnaishi na malaya na hamjui.
Huyo jamaa apigwe chini. Ndoa ni tendo..mnataka dada wa watu akamalizie wapi nyege zake kama mume hajui lolote.?
Mwanamke akiwa hana kizazi mnasapoti mwanaume akazae nje na mara nyingi mke anaachwa kisa hazai.
Jamaa apigwe chini apelekwe jando akafundishwe jinsi ya kumridhisha mwanamke.
Mnavyomwitaga mwanamke malaya ni ili aumie au ni kujiridhisha tu nafsi zenu? Wengi tu mnaishi na malaya na hamjui.
Huyo jamaa apigwe chini. Ndoa ni tendo..mnataka dada wa watu akamalizie wapi nyege zake kama mume hajui lolote.?
Mwanamke akiwa hana kizazi mnasapoti mwanaume akazae nje na mara nyingi mke anaachwa kisa hazai.
Jamaa apigwe chini apelekwe jando akafundishwe jinsi ya kumridhisha mwanamke.
Huyo ni shetani ndo anayemsumbua hata apeww johnny sins hatoridhika,Mnavyomwitaga mwanamke malaya ni ili aumie au ni kujiridhisha tu nafsi zenu? Wengi tu mnaishi na malaya na hamjui.
Huyo jamaa apigwe chini. Ndoa ni tendo..mnataka dada wa watu akamalizie wapi nyege zake kama mume hajui lolote.?
Mwanamke akiwa hana kizazi mnasapoti mwanaume akazae nje na mara nyingi mke anaachwa kisa hazai.
Jamaa apigwe chini apelekwe jando akafundishwe jinsi ya kumridhisha mwanamke.
Amesema anataka kumuacha mume aende kwa ex. Kama inampendeza afanye hivyo..Mwanamke mwenzenu anataka kukunwa vizuri na ex wake na huku anataka pesa za mumewe ambaye hamkuni vizuri😂😂
siyo kwamba tunawaita malaya kwasababu ya kuridhisha nafsi zetu, ni kwasababu ndivyo mlivyo.
Kuua si dhambi Kwa Binadamu Design Hii.Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Maisha mafupi haya. Afanye linalompendeza. Stress for whatHuyo ni shetani ndo anayemsumbua hata apeww johnny sins hatoridhika,
Malizia kusoma pale chini, "Kwa upande mwingine huduma za mumewe bado anazihitaji"Amesema anataka kumuacha mume aende kwa ex. Kama inampendeza afanye hivyo..
Kama ndivyo tulivyo malaya basi Mungu katuumba hivyo..hatuwezi kubadilika. Wakati sasa umefika mkubali kwamba umalaya upo ndani yetu na hatuna means ya kujirekebisha.
Malalamiko kayapelekeni kwa muumba wenu.
Asijidanganye huyo mwanamke kabisaaa maana akiachika tuu na huyo mcheps nae anambwagaKutembeza "bakora" siyo kugawa bhana
Thubutu,
Una watoto watatu unawaza kuachika kabisa kisa ubora wa shoo?!
Atajuta huyo
Ni kweli achague moja.Malizia kusoma pale chini, "Kwa upande mwingine huduma za mumewe bado anazihitaji"
Anazihitaji kwasababu, huyo ex wake hana, zaidi ya kumkuna vizuri na kumpenda. Sasa hapo, Kuna pesa,upendo wa kweli na ukuni.
Achague moja Ili tuseme siyo malaya.
Aisee kumbe bora ujue kutomber viziri kuliko kuwa na pesa.Malizia kusoma pale chini, "Kwa upande mwingine huduma za mumewe bado anazihitaji"
Anazihitaji kwasababu, huyo ex wake hana, zaidi ya kumkuna vizuri na kumpenda. Sasa hapo, Kuna pesa,upendo wa kweli na ukuni.
Achague moja Ili tuseme siyo malaya.
Haijifichi mkuu,Mgongoni haitajiandika.cha wote
Wamejifunza kutoka kwa the so called men. Mwanafunzi kamzidi mwalimu ujuzi. Hatari sanaInasikitisha sana, wanawake wamekuwa serial cheaters na hawajali namna wanavyoliwa na kila mtu.