Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"

basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana

Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine

Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool

Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua

Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume

Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!

Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
OA BIKRA TUU!!
 
Asijidanganye huyo mwanamke kabisaaa maana akiachika tuu na huyo mcheps nae anambwaga
Kabisa mkuu.

Halafu kuna kitu Ke huwa hawajui.
Mwamba akioa akaweka ndani inafika muda anakinai kwa sababu ya makwazo, ugomvi, (kama huyo Ke mwenye mchepuko lzm ana kiburi na gubu la kutosha) nk, hadi mnara unakuwa hausomi kwake tena.
Ila kwingine nje huko mume anapeleka 🔥 wa kufa mtu.

Hata akienda akaolewa na huyo mchepuko wake scenario itakuwa hiyo hiyo. Mume mpya atamchoka atahamishia moto kwinginee
 
Kabisa mkuu.

Halafu kuna kitu Ke huwa hawajui. Mwamba akioa akaweka ndani inafika muda anakinai kwa sababu ya makwazo, ugomvi, (kama huyo Ke mwenye mchepuko lzm ana kiburi na gubu la kutosha) nk, hadi mnara unakuwa hausomi kwake tena.
Ila kwingine nje huko anapeleka 🔥 wa kufa mtu.

Hata akienda akaolewa na huyo mchepuko wake scenario itakuwa hiyo hiyo. Mume mpya atamchoka atahamishia moto kwinginee
Vija a msioe mwanamke broke maana jamaaa alibugu kuoa mwanamke broke. Saka wanawake wenye hela zao hawa broke gals ninshida
 
Aisee kumbe bora ujue kutomber viziri kuliko kuwa na pesa.
Kelsea Joannah Aaliyyah Lamomy nisameeni nikikuwa nawashangaa kwa nini mnakataa kibamia wakati hela ninayo sasa nimewaelewa
Mapenz yapo moyoni kuridhika ni mambo yanayoongeleka na km ni tatizo litafutiwe tiba
Unaweza pia Kuna na vyote na ukaachwa pia😄
 
Sasa hapo anataka ushauri gani?

Alafu mbwa kama huyo akija kukatwa katwa mapanga wanaharakati uchwara waje kupiga kelele za ukatiri wa kijinsia.
Anacho kitafuta atakipata muda sio mrefu.
Punguza Jazba Kila Mmoja Atapita Kwa Mapito Yake Ya Kwao Waachie Wenyewe
 
Mnavyomwitaga mwanamke malaya ni ili aumie au ni kujiridhisha tu nafsi zenu? Wengi tu mnaishi na malaya na hamjui.
Huyo jamaa apigwe chini. Ndoa ni tendo..mnataka dada wa watu akamalizie wapi nyege zake kama mume hajui lolote.?

Mwanamke akiwa hana kizazi mnasapoti mwanaume akazae nje na mara nyingi mke anaachwa kisa hazai.

Jamaa apigwe chini apelekwe jando akafundishwe jinsi ya kumridhisha mwanamke.
Yule mwanamke ni malaya
 
Ninadhani kwenye zile amri kumi ile ya USIUE ifanyiwe marekebisho kidogo ili kuendana na mahitaji ya sasa.
 
Kama hii sio chai basi hiyo ndoa Ina matatizo!!!!
Mwanaume alioa ili apate mashine kumzalia na mwanamke aliolewa ilipate unafuu wa maisha!!!!!!
Huyo dada kqshindwa kuongea na mumewe namna anavyotaka afanywe ili aridhike???
Harafu unajua humo ndani ya ndoa wakiongea na kutoa ya moyoni mbona wataridhishana tu! Shida mume kamchukulia poa halafu kwa x kajiachia!.
Afanye anachoona kinamfaa
 
Back
Top Bottom