Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Wanawake siku hizi wanataka ukuni,pesa na upendo wa kweli vyote Kwa pamoja. Haiwezekani ndiyo maana umalaya umekithiri sana siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake siku hizi wanataka ukuni,pesa na upendo wa kweli vyote Kwa pamoja. Haiwezekani ndiyo maana umalaya umekithiri sana siku hizi.
OA BIKRA TUU!!Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Kabisa mkuu.Asijidanganye huyo mwanamke kabisaaa maana akiachika tuu na huyo mcheps nae anambwaga
😂😂Inasikitishwa kwani huko ndoani ni mwiko kumwambia mumeo ukinifanyia ndio naridhika??Kwa siku wanashinda kitandani kwa muda gani? 😅😅😅😅 Masaa 24? au hata nusu yake?
Watu kama hao ni wazuri sana, muungeni mkono! Kaeni pembeni subirini matokeo cause WTF!
Vija a msioe mwanamke broke maana jamaaa alibugu kuoa mwanamke broke. Saka wanawake wenye hela zao hawa broke gals ninshidaKabisa mkuu.
Halafu kuna kitu Ke huwa hawajui. Mwamba akioa akaweka ndani inafika muda anakinai kwa sababu ya makwazo, ugomvi, (kama huyo Ke mwenye mchepuko lzm ana kiburi na gubu la kutosha) nk, hadi mnara unakuwa hausomi kwake tena.
Ila kwingine nje huko anapeleka 🔥 wa kufa mtu.
Hata akienda akaolewa na huyo mchepuko wake scenario itakuwa hiyo hiyo. Mume mpya atamchoka atahamishia moto kwinginee
Kabisa yaan huyo dada atalia vibaya sanaNachokijua mwisho wa huyo mwanamke utakuwa mbaya sababu nishayashuhudia haya kwa mtu wangu wa karibu sana
Yupo sahihi kupigwa miti nje sababu tu kuna wanaume wengine wanapiga nje na sio mumewe ? Amfanyie mtu ubaya Anbar hajamfanyia sababu tu kuna watu wengine wanafanya hivyo ? Wanawake bwanaMbona ata nyie wanaume mnagawaga nje mkishatuoa
Dada yupo sahihi sina cha kumshauri
Mapenz yapo moyoni kuridhika ni mambo yanayoongeleka na km ni tatizo litafutiwe tiba
Jtakuwa na wanaume watatu weweVyote viende pamoja
Uwe nanvyote uachwe tena sii balaaaMapenz yapo moyoni kuridhika ni mambo yanayoongeleka na km ni tatizo litafutiwe tiba
Unaweza pia Kuna na vyote na ukaachwa pia😄
Odo si ndioo?😂😂Inasikitishwa kwani huko ndoani ni mwiko kumwambia mumeo ukinifanyia ndio naridhika??
Alafu mdogo wako mpaka sasa hajaleta bei ya mbususu yake naona kakimbia ebu mkumbushe anitumie bei mie niweke hela kwa account yake😂😂😂😂kwani hujui mimi na mdogo wangu Lamomy ni wazaramo?unyagoni tumefundishwa kuhusu mafiga matatu
Punguza Jazba Kila Mmoja Atapita Kwa Mapito Yake Ya Kwao Waachie WenyeweSasa hapo anataka ushauri gani?
Alafu mbwa kama huyo akija kukatwa katwa mapanga wanaharakati uchwara waje kupiga kelele za ukatiri wa kijinsia.
Anacho kitafuta atakipata muda sio mrefu.
Yule mwanamke ni malayaMnavyomwitaga mwanamke malaya ni ili aumie au ni kujiridhisha tu nafsi zenu? Wengi tu mnaishi na malaya na hamjui.
Huyo jamaa apigwe chini. Ndoa ni tendo..mnataka dada wa watu akamalizie wapi nyege zake kama mume hajui lolote.?
Mwanamke akiwa hana kizazi mnasapoti mwanaume akazae nje na mara nyingi mke anaachwa kisa hazai.
Jamaa apigwe chini apelekwe jando akafundishwe jinsi ya kumridhisha mwanamke.
Ili iweje wakati mechi ishakuwa tatu bila..................................................Ndo amchane mapema Sasa.