Anataka kunipeleka Polisi kisa na-date na Binti yake

We endelea na mapenzi yenu mkuu kama ataamua kukukomoa sidhan kama atafikiria kwenda polisi we kuwa mpole tu
 
Naomba uzae mabinti na huyo binti tena mfululizo, halafu wakora kama wewe waanze kuwachezea. Utajua kwanini huyo Mzee anataka kukufikisha police
 
So ndio Zero IQ atazaa na huyo mwana diploma!!!
Wakishazaa naamini watanikabidhi kabinti kao. Wasafwa wanasema, mwanao mpe mchawi amlee
Inategemea na huyo mzee ana akili gani kuna wengine atachukua binti ná mjukuu wake na huyo mtoto hatapewa jina lako wala hutakaa umsikie
 
JF kwa sasa hakuna kitu mkuu, Kuna wanasheria maandazi tu
Mkuu nimrpitia Uzi mzima hakuna aliyekujibu hoja yako,

ila kwa sheria ya elimu dhidi ya mwanafunzi ni yupi inasema kuwa ,mtoto atahesabika kuwa mwanafunzi toka chekechea hadi pale kidato cha nne, na hata kuwa mwanafunzi ikiwa matokeo yatatoka na kuonesha kuwa hajafaulu,

Ila akifaulu na kuendelea kidato cha tano na sita huyu bado atahesabika kuwa ni mwanafunzi pia, kwa chuo huyu eidha awe certificate au diploma huyu si mwanafunzi,sheria haiwaongelei hawa


Kwa dhana hiyo huyo mtoto yuko above 18 yrs, na si mwanafunzi so sioni mahala huyu baba mtu atakupata matatizoni,sema kuwa hapa duniani hakuna haki,unaweza pelekwa kituo cha polisi baadae akajikuta unafunguliwa kesi ya unyanganyi wa kutumia siraha.

Hivyo yakupasa kuwa makini na huyo baba mtu maana hapendi wewe kuwa karbu na bintiye

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…