Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

1)uwe na uhakika Kwa Nini aliondoka,kama sababu ni umasikini na hujapata pesa mwambie arudi kwao.
2)muulize Kwa Nini anataka kurudi?anapungukiwa na nini akikaa peke yake?
3)Marafiki zake ni watu wa namna Gani?
4)mambo Mengine ni ya kipuuzi ,aliondoka bila ruhusa halafu anahitaji ruhusa wakati anarejea,usiumize kichwa chako na watu wapumbavu
5.alipoondoka wazazi wake walikutafuta au wali respond vipi?
6.Mnandoa kabisa ya kidini au kiserikali?
7.Kama wazazi wake walikaa kimya tafuta mwanamke mwingine oa.
5.akuna ata mmoja alienipigia simu na kuuliza chochote
6 ndoa ya kidini
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
usichukulie kila kitu serious sana utakufa kwa pressure bure. Katika maisha kuna wakati mtu anafanya makosa lakini baadae anajirudi na kuomba msamaha.

Ikiwa yuko serious ni vyema ukamsamehe ila umpe onyo asirejee tena. Nadhani itakuwa amejifunza vya kutosha.

Ukiulizia humu utaambiwa kataa ndoa, jee hilo ndilo unalolitaka? Kuna siku na wewe utamkosea kwa hivyo weka akiba baba. Maisha siyo sawa na ruler kwamba imenyooka na kila kitu kitakwenda according to plan.

Msamehe, msamehe, msamehe........ yeye ni binadamu amekosea, amejutia na sasa anataka kurudi basi mpokee.
 
Nashkuru kwa ushauri
 
Hebu mshirikishe Mungu kwa kufunga na kuomba
 
Aliyeondoka ni vitu vyote huyo ni boga Hana Akili Kabisa . Ni useless atakusumbua kabisa. Hivyo vitu alipeleka wapi
 
usichukulie kila kitu serious sana utakufa kwa pressure bure. Katika maisha kuna wakati mtu anafanya makosa lakini baadae anajirudi na kuomba msamaha.

Ikiwa yuko serious ni vyema ukamsamehe ila umpe onyo asirejee tena. Nadhani itakuwa amejifunza vya kutosha.

Ukiulizia humu utaambiwa kataa ndoa, jee hilo ndilo unalolitaka? Kuna siku na wewe utamkosea kwa hivyo weka akiba baba. Maisha siyo sawa na ruler kwamba imenyooka na kila kitu kitakwenda according to plan.

Msamehe, msamehe, msamehe........ yeye ni binadamu amekosea, amejutia na sasa anataka kurudi basi mpokee.
Huu ndo USHAURI mzuri Sana.Atakuwa amejifunza saaana TU.
 
Kama mara ya kwanza hakukukomesha sasa ndio anakuja kukukomesha.

Mtu akikuonyesha asili yake ya tabia kuwa wewe sio muhimu kwake pale ambapo unamhitaji then usipoteze tena muda nae mpotezee.
 
Pole na changamoto ila never ever accept the woman who left you no matter what because she will do it again and blame you for forgiving her_ukimruhusu arudi ujue unampokea mwanamke ambae SIO YULE ALIYEKUWA MKE WAKO!!!! You have been told and you have been warned...
 
mi nikupe ushauri wa bure nimeona nakupitia haya,
1. hataukimrudisha hutakaa uwe na imani nae hivyo hamtadumu.
2.kuwa mpole move on.
3.kaa angalau mwaka au mwaka na nusu usiingie kwenye mahusiano yoyote labda uwe unagusagusa tu kwa kuiba
4.usiingie kwenye mahusiano na mke wa mtu au hata single mother yeyote tunasemaga bahari limejaa samaki.
5.baada ya muda kupita umejipanga vyema kutafuta pesa kujiweka vizuri kaa chini tuliza akili.
6.tafuta mwanamke mdogo uliemzidi angalau umri hata kwa miaka zaidi ya mi5 asiwe kazaa
7.akikupenda yeye itakuwa jambo jema na utaenjoi maisha sana ila ukimpenda nakumuomba muingie kwenye mahusiano wewe fanya ya fuatayo
7a.Mfundishe namna ya kukupenda.
7b.mtunze mjali mpende sana.
7c.muweke wazi kila kitu kuhusu mtoto wako mama ake,vitu uvipendavyo na usivyovipenda.pia usimuonee wivu sana

ukifanya haya braza nakuhakikishia tutakutana humu tukiwa wazee miaka 75+.hutakaa uwe na stress wala presha ukiitaji ushauri zaidi njoo inbox na maswali yako.
 
kama ulimfukuza wewe akapime ukimwi na mimba alafu msamee ila tambua hawara aachiki kama ananamba za aliekuwa anamsagamua alipokuwa hayupo siku ukimkorofisha ataenda kujituliza kwake,ila KAMA ALINYANYUA MIGUU YAKE AKAONDOKA MWENYE haijalishi mnawatoto 100 braza RUN,piga moyo konde na ung"atuke hamna mtu hapo.
ukiondoka hakikisha unajituma sana
 
Back
Top Bottom