Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Uko sahihi,ukitaka kujua kua ndoa nimuunganiko wa familia mbili kaidi hilo halafu mkamatane tu me&ke bila hizo familia mbili kushiriki hilo suala ndio utaona lazima kuna namna tu mtawarudia kwenda kuwaomba au kutafuta msaada wao,kwahyo hoja yako iko sahihi mkuu.ndoa nimuunganiko wa familia mbili.
Nashkuru kwa kunielewa
 
Niko pamoja na wewe,lkn Kila mtu na uwezo wake wa kuhandle hasira.Wewe kinachokusumbua ni hiki
Kwanza umesema maneno maneno aliyokuzushia kwao
Pili Hadi kwao wanakudharau
Tatu watu watakuonaje,yaani kitendo Cha mkeo kurudi Tena kwako.
SASA MAAMUZI NI YAKO KWA SABABU MAJIBU ULIKUWA NAYO KABISAA,ULITAKA USHAURI WA NINI???
Sasa maisha ya kumwangalia flani flani nayo siyo mazuri.hutaoa.
Mfano mwanamke akifukuzwa saa nane usiku na mumewe akimbilie wapi????
Atakimbilia kwetu
 
Anarudi akumalize kabisa.

Mkubalie
FB_IMG_1681458708684.jpg
 
Unakuja kimalizia jambo lake.hana jipya hawa bila msimamo.ni shida
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Kamwe husifanye kosa la kumpokea mwanamke,atarudia Alichokifanya tena na tena.
 
Wapare kwenye ngasu ya Mshitu wana kipengele cha kuchagua dem na analetwa na kutakiwa kumtunza na kumjali..... shughuli yake ni jasho kutoboa ngozi.

Mengine ni siri ya Mshitu
shughuli yake ni jasho kutoboa ngozi.

Mengine ni siri ya Mshitu[emoji1752]
 
Kila mtu na mawazo yake na kichwa chake.ulivyowaza wewe NI tofauti na mwenzako.hata darasani somo NI moja lakini Kila mtu anapata alama zake.Mungu alishajua hili ndo Mana KWENYE Biblia wanasema kuchukuliana madhaifu yet,KUSAMEHEANA na kuvumiliana.Ungekuwa unaijua dini au wa Rohoni ungenielewa ZAIDI.
Hamna mtu mwenye alama wala sijui nini, ila kila mtu anatabia yake. Hilo uliloliongelea sijui kusameheana na kuvumiliana mwenzako alishalishindwa na akavunja hadi ndoa na familia pamoja na kukuachia umasikini, sasa wewe unataka utudanganye nini tena hapa. Uvumilivu umemshinda akakimbia ndoa, na akaivunja, je hiyo ndio dhana ya uvumilivu au kutuletea maigizo kwenye ndoa. Unatuambia hiyo ndio ndoa ilivyo, 😂😂😂 kwamba ndoa ndio mnavumiliana kwakuivunja na hata kusambaratisha familia kisha urudi mara ya pili. Hapo ndio kukosa uvumilivu sasa. Kwamba na mwanaume naye avumilie kwakuikimbia familia halafu kesho arudi😂😂😂, hivi nyie kwanini hamkomboleki na mnajichimbia kaburi wenyewe. Point ni vumilia ila kamwe usijaribu kuivunja familia, otherwise huo ni utoto, ubinafsi na upumbavu, achana na ndoa kabisa haikufai.
 
Hizi ni fikra za mvulana,mwanaume hawezi kuwa na fikra kama hizi
 
Niaibishe nitukane navingine I don't know 😂😂😂😂, maana ndio njia ya mwanamke akikosa hoja. Ila msimamo ni mmoja, hutatui tatizo kwakulikimbia tatizo bali kwakutulia na kupata suluhu. Ndoa na familia sio maigizo au u boyfriend na u girlfriend. Ni kiapo, umeamua na umeapa nieither utulie na ujenge familia yako au vunja kabisa na usitafute sababu
za kuonea huruma. Ndoa naiheshimiwe na watu wote, ilishaandikwa. Huwezi ukaheshimu kitu ukakifanya kama tambala la deki kwamba unaitumia utakapo. Sawa mtu mzima!
 
Kama uliapa ina maana walifundishwa mafundisho ya ndoa miezi mitatu.na wakaambiwa KABISA mko wawili,mwenzio akidondoka wewe mshike mkono umuinue.Mkeo kadondoka,kinachokusumbua usimshike mkono kumwinua ukampangusa vumbi Kisha mkatizama kill kilichomuangusha halafu maisha yakaanza upya ni nini???
Hivi hamkufundishwa kuvumiliana na KUSAMEHEANA????
 
Niaibishe nitukane navingine I don't know 😂😂😂😂, maana ndio njia ya mwanamke akikosa hoja. Ila msimamo ni mmoja, hutatui tatizo kwakulikimbia tatizo bali kwakutulia na kupata suluhu. Ndoa na familia sio maigizo au u boyfriend na u girlfriend. Ni kiapo, umeamua na umeapa nieither utulie na ujenge familia yako au vunja kabisa na usitafute sababu
za kuonea huruma. Ndoa naiheshimiwe na watu wote, ilishaandikwa. Huwezi ukaheshimu kitu ukakifanya kama tambala la deki kwamba unaitumia utakapo. Sawa mtu mzima!
Nenda kwa Yes tu ukatue zigo lako la Rohoni,acha kumuweka mtu Rohoni.
Kwa Yesu HAKUNA Visasi,HAKUNA jino kwa jino.Kwa Yesu ni KUSAMEHE TU.
Lakini hasira hata Mungu ameruhusu tuwe nazo.
MPOKEE YESU TU.
 
Niaibishe nitukane navingine I don't know 😂😂😂😂, maana ndio njia ya mwanamke akikosa hoja. Ila msimamo ni mmoja, hutatui tatizo kwakulikimbia tatizo bali kwakutulia na kupata suluhu. Ndoa na familia sio maigizo au u boyfriend na u girlfriend. Ni kiapo, umeamua na umeapa nieither utulie na ujenge familia yako au vunja kabisa na usitafute sababu
za kuonea huruma. Ndoa naiheshimiwe na watu wote, ilishaandikwa. Huwezi ukaheshimu kitu ukakifanya kama tambala la deki kwamba unaitumia utakapo. Sawa mtu mzima!
Njoo kwa YESU,HUTAJUTA.HUTALALAMIKA,ATAKUFUNDISHA KUVUMILIA NA KUCHUKULIANA.
ATAKUPA MOYO WA DAMU NA ATAKUTOA MOYO MGUMU HUO WA JIWE.
 
Hamna mtu mwenye alama wala sijui nini, ila kila mtu anatabia yake. Hilo uliloliongelea sijui kusameheana na kuvumiliana mwenzako alishalishindwa na akavunja hadi ndoa na familia pamoja na kukuachia umasikini, sasa wewe unataka utudanganye nini tena hapa. Uvumilivu umemshinda akakimbia ndoa, na akaivunja, je hiyo ndio dhana ya uvumilivu au kutuletea maigizo kwenye ndoa. Unatuambia hiyo ndio ndoa ilivyo, 😂😂😂 kwamba ndoa ndio mnavumiliana kwakuivunja na hata kusambaratisha familia kisha urudi mara ya pili. Hapo ndio kukosa uvumilivu sasa. Kwamba na mwanaume naye avumilie kwakuikimbia familia halafu kesho arudi😂😂😂, hivi nyie kwanini hamkomboleki na mnajichimbia kaburi wenyewe. Point ni vumilia ila kamwe usijaribu kuivunja familia, otherwise huo ni utoto, ubinafsi na upumbavu, achana na ndoa kabisa haikufai.
Mungu kawakutanisha wore mna mapungufu.kazi yako no kuyaondoa mapungufu ya mwenzako au kuyapunguza.Njoo kwa Mwanaume wa wanaume,njoo kwa Mfalme was wafalme,njoo utolewe moyo wa JIWE uwekwe wa nyama.
NJOO KWA YESU.
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.

Anarudi kwako sababu we ni mzaifu
 
Kama mlishapata Watoto huna haja ya kumrejesha ikiwa aliondoka mwenyewe.

Ishi maisha yako, fanya mambo mengine. Kizazi cha sasa ukishapata Watoto idadi uliyoipanga alafu Mwanamke akakuzingua Achana na habari zao, endelea na mambo mengine
 
Back
Top Bottom