Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Kashaachwa na aliyekuwa anampa kiburi, mwamba kapiga katosheka. Anataka kurudi apendeze tena kisha akupe pigo mwana ukome.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787] wanawake wengine ni magaidi kabisa, kuna mmoja mmewe kasafiri siku mbili akaita fuso ikabeba kila kitu ikapeleka kwao huko mbulu. Jamaa anafika anakuta uwanja wa mpira kweupee hakuna hata buibui. Kakaa kajipanga upya baada ya miezi 7 mwanamke karudi na alimpokea.
Huyo karogwaa sio bureee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miezi 4???aliemdanganya kashamchoka anataka arudi,pambana mkuu
 
Bhs alifanya maamuzi kwa hasira anajutia. Mpe nafasi mlee mtoto.
HASIRA TU HIYOOO,HAKUNA CHA KUMMALIZA WALA NINI.TENA ATAKUWA NA ADABU HUYO,HADI ATAMSHANGAA.AMUWEKEE SHERIA TU,AKIVUNJA ATEMBEEE
 
Ndoa mke na mume ila ndoa itakuwa ngumu kama upande wa mke au mume kutakuwa na utofauti ivyo ndivyo ninavyo amini mimi
Uko sahihi,ukitaka kujua kua ndoa nimuunganiko wa familia mbili kaidi hilo halafu mkamatane tu me&ke bila hizo familia mbili kushiriki hilo suala ndio utaona lazima kuna namna tu mtawarudia kwenda kuwaomba au kutafuta msaada wao,kwahyo hoja yako iko sahihi mkuu.ndoa nimuunganiko wa familia mbili.
 
Back
Top Bottom