Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Kwa kifupi huo ni mtego kuwa makini huo ni mtego- in Saimon voice
 
Sababu alishanipakazia kwa maneo ya uwongo kwa familia yake na wakamuamini mpaka anarudi kwao akuna ata mmoja alieniuliza what happen ila walikaaa kimya na kumpokea hiyo situation inaniumiza kichwa
Ni hivi,ulitakiwa wewe uende kwao, hata Kama yeye ALITANGULIA maana umesema ni MKE KABISA taratibu zote ulifata.Je kwa nini hukwenda???
Usiogope kupakaziwa,wewe Mwanaume ilitakiwa usimame na ungeenda kwao kutoa msimamo wako.
 
Mpe nafasi wengine wajifunza wakiwa nje ya gemu kama atakua na tabia zilezile arudi kwao ila Mpe nafasi kuoa oa napo sio vizuri.
No kweli anaweza kuwa bora.lkn vyombo arudishe.Anaweza kuwa Bora kuliko mwanzo.KUOA OA MARA LEO HUYU KESHO YULE SIO VIZURI.NGUZO YA NDOA NI KUSAMEHEANA NA KUVUMILIA.
 
Japo huwa siwaamini Wanawake sana

But mchukue tu mlee mtoto.

But kuwa mwangalifu na hakikisha this time una take over madaraka yako kikamilifu utakaloamua hakuna kubishana atake asitake.

This time uwe mbabe maana inaonesha ulimpa uhuru sana Wanawake ukiwapa democracy wanakuwa vichaa ghafla.
Nakukubali mkuu.Amrudishe na ampe masharti na sheria,akileta za kwake AMRUDISHE.LKN NADHANI ATABADILIKA
 
Mimi sina ushauri ila kama utarudiana naye nialike nile pilau la ndoa mrudiano .Pia kama akirudi na kukumaliza kabisa nialike mapema msibani.

#Kidongemlongakweli
 
🤣 wanawake wengine ni magaidi kabisa, kuna mmoja mmewe kasafiri siku mbili akaita fuso ikabeba kila kitu ikapeleka kwao huko mbulu. Jamaa anafika anakuta uwanja wa mpira kweupee hakuna hata buibui. Kakaa kajipanga upya baada ya miezi 7 mwanamke karudi na alimpokea.
Ndo maisha ya ndoa hayo.mume kwa nini asimpokee mkewe???Kosa moja haliachi mke.
Sio sogea tuishi /waliookotana
 
Huu ndio ukweli mchungu taka usitake, Amepata bwana mpya ila mwanaume mwezako anataka aone kaburi la mwanaume alie zaa nae ambae ni wewe (uliye zaa nae) ndiyoamuoe , sasa anarudi kwako ili akumalize awezekua na alama ya kaburi lako kwa mwanaume mpya anae taka kumuoa , ukimpa chance atafanikiwa kupata hilo kaburi lako na atamwonyesha kabisa hili hapa kaburi la mzazi mwezangu ili aolewe..

Tafuta mwanamke mwingine kama unapenda kuishi ...Mwanamke akishaondoka anarudi kwako kwa lengo la kuja kukumaliza kabisa na kuhakikisha haupo duniani ili aweze kuishi kwa amani na mwanaume wake mpya
 
Ulipata bahati ya kukimbiwa na dharau ya familia Yao ww Sasa wa nini huyo mzeiya kwanza mwanamke asiyekuheshimu ni tatizo namana a naweza kukusababishia ukaingia ktk majanga
 
Daaah.. mahusiano imekuwa changamoto sana. Yani mtu unaingia kwenye ndoa ukiamini utapona lkn kumbe ndio unakuwa mwanzo wa vita mmpya
 
Back
Top Bottom