Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Ndo walivyo hao mwanamke anaekupenda haondoki kwako atatafuta suruhu hata kwa mshenga ili mambo yakae sawa ila anaesafisha nyumba huyo hana utofauti na mwizi!
 
Kama aliondoka mwenyewe akiwa na akili timamu anarudi wapi Tena na kufanya nini? Kama alikuacha form one safari hii atakurudisha mpaka vidudu
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
anakuletea mimba ya mwanaume mwingine, atadai aliondoka ikiwa changa sana
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
HAYO yote sio majibu.Wewe unadhani ndoa zote hizi zinazoendelea mwanaume hajawahi kuondoka na pesa nyingi tu akazitumia baadae akasamehewa na mkewe akarudi wakaendelea kuishi???Wanawake wangapi waliondoka na vyombo lakini baadae wanarudi na vyombo kwa mumewe na maisha yanaendelea tu vizuri!Asilomia kubwa ya Mwanamke yoyote AKONDOKA huwa anabeba vitu.Kukosana kwenye ndoa ni kawaida saaana.Kama hakuna mgogoro ndani ya ndoa hiyo sio ndoa maana nyie sio malaika.HUYO ALIONDOKA KWA HASIRA TU.Wewe kubali arudi na vyombo maisha yaendeleee.lakini muwekee masharti.KWA USHAURI ZAIDI KATAFUTE WAZEE WENYE UMRI WA MIAKA 55 NA KUENDELEA WALIOKO KWENYE NDOA ZAO WATAKUPA USHAURI BORA.KATAFUTE WENYE BUSARA NA HEKIMA,LKN SIO HUMU.HUMU NDUGU JIBU LAO MOJA TU UACHANE NAE.KUMBUKA ANAWEZA KURUDI NA AKAWA MKE BORA KULIKO MWANZO.HIVI NI MARA NGAPI KABEBA VITU KAONDOKA?????USIONE WATU WAPO MIAKA 25 NDANI YA NDOA WALIPITIA HAYA NA MENGI ZAIDI YA HAYA.KIKUBWA NI KUSAMEHEANA NA KUVUMILIANA.Akirudia Tena mwache NDUGU,kumbuka wahenga walisema Kosa moja haliachi mke!!!!!
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Kakuona fala. Na wewe ukimpokea ni fala kama fala wengine
 
Jiandae kwa maumivu part 2, huyo Hana ajenda nyingine tofauti na kuja kukumaliza kbsa.

Wala usikubali kurudiana naye Bora utafute mwingine tu.
 
Mkuu Roho yako inasemaje??
Huyo mke wako ni mtu wa hasira za karibu??
Hasira TU za mkewe.Wangapi wanaondoka na vyombo na wakirudi wanakuwa Bora kuliko mwanzo???Wanaume wangapi wanakimbia wake zao na pesa,lkn wanaomba kurudi na wanakuwa Bora???JE MTOA POST HAJAWAHI KUMKOSEA MKEWE???KAMA HAJAWAHI,BASI ASIMRUDIE.LAKINI KAMA NA YEYE ALIMKOSEA AMRUDISHE.
 
Mpe nafasi wengine wajifunza wakiwa nje ya gemu kama atakua na tabia zilezile arudi kwao ila Mpe nafasi kuoa oa napo sio vizuri.
YAANI WEWE UMEONGEA KIUANAUME KABISA SIO KIVULANA.HUO NDO UANAUME,NA HIYO NDO BUSARA NA HEKIMA.
 
Back
Top Bottom