Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Yaani miaka kumi mtu kakuvumilia mapungufu yako eti unaona kosa lake ni kosaaa kubwaaaa tafuta malaika mkuu ufunge nae ndoa bila kusahau bikra.
Sista, kwani wanaume tu, ndio wanapungufu ndani ya ndoa. Kwamaana kwamba wanawake hamna[emoji23][emoji23]. Pia mahusiano ukishavunja uaminifu jua ndio yameisha hivyo ujue ni kosa kubwa sana. Usicheze na uamunifu ndani ya mahusiano, eh! Vijana bwana[emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja yako.

Binafsi kurudiana na ex nakutafsiri kama kuendeleza mateso toka pale mlipoishia na sio kingine.

Kigezo pekee Cha Mimi kurudiana na ex ni iwe hajawahi kuwa na mahusiano na mtu mwingine yeyote toka tulipopeana mgongo na mimi iwe hivo ....kitu ambacho hakiwezekani.

LKN Kwa muandiko wa mtoa mada ....picha nnayoiona huyo ex ndo atakuwa mke au mchepuko wa kudumu wa huyu mtoa mada.....

Na mtoto wa huyo ex anaweza kuwa mtoto wao wa 1 na wa mwisho.....ten years bila mtoto.....kuna kitu hakipo sawa hajaelezea vizuri.
 
Miaka 10 wakati unamkula tu....Daaa.Kwanza ana moyo sana kurudi kwako....mwambie maisha mazuri ni hayo anayoishi aache kujidhalilisha kuombaomba ndoa Kwa maex😏
Kweli bhana. Kujigonga gonga kwa ex ni kujidhalilisha tu. Kama vipi akaoshe hata vyombo kwa mama ntilie maisha yasonge.
 
Pointi
 
Sawa
 
Kingine haturudiani na maex walio fubaaa[emoji1787][emoji1787] bora angenawili kidogo hata ungemuangalia KWA jicho la tatu
Maisha tu ndugu huyo akipata wa kumtoa hata laki na hamsini kwa mwezi tu akapata kula bila mawazo na soap sop kidogo utamsahau.

Wanawake ni kama maua
 
Hivi watu huwa wanajirudisha kwa ex kufanya nini? Kwa wanawake mi naona ni aibu kweli! Kama maisha yamekupiga kama huyo ndo unampa ex nafasi ya kukucheka daaah!
 
Tujifunze kuwaombe our ex maisha mema na yenye mafanikio coz hatupotezi chochote wanapofanikiwa coz tulisha move on! And same to them!! Life is too short to prove anything to anybody!! Muombee Mungu amuinue hapo alipo na ampate mtu sahihi simple! and we endelea na maisha yako!! Win win situation!!
 
Inategemea mlianza na umri Gani. Wengine wameanza na Miaka 16 so 10 SAWA na26 kma Bado unajipanga je
 
Mwanamke hawezi kukaa na MTU kwa miaka 10 Kama hampendi,Sema alihisi muda unamtupa mkono ndio akaona atafute mtu amuoe apate heshima ya ndoa bahati mbaya akaangua pua..ajali kazini
Wapo wanakaa Zaid ya Hyo na wanaolewa. WaTu wanaanza mapenzi since teenage age, Miaka 10 si kitu
 
Kweli bhana. Kujigonga gonga kwa ex ni kujidhalilisha tu. Kama vipi akaoshe hata vyombo kwa mama ntilie maisha yasonge.
Mi nashangaa sana kuona mtu mliachana then unaomba mrudiane baada ya kushindwa huko kungine....ni halali kudharaulika aisee.Ole wake amtegemeae mwanadamu....fua hata nguo za watu ukipata hata buku 3 ni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…