Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

swala sio kwenda Kwa aliyebora chief,hapo ni swala la karma kuingia kwenye system mkuu.hata kama ulikuwa juu mawinguni itahakikisha inakushusha chini sakafuni ugaregare huko.

*tujifunze kuachana Kwa wema
Kuachwa na mtu uliyemzoea bila sababu ya msingi inauma sana.
 
Weeeh usitusingizie bwana, nyuzi zenu humu zinaonyesha mnavyotuombeaga mabaya🤣🤣
Mwanamke akikuacha lazma akufatilie kila kona kuanzia whatsapp, facebook, insta yani atataka ajue una nini ama umepata demu tena. Akiona unapost majungu tu anajua kakuweza 😂😂😂!

Ana kapost kabwana kake kenye Crown
 
Hivi ninyi wanaume wenzangu unamchukua binti wa watu unaishi nae miaka 10 bila kumuoa hivi unakuwa unasubiria kitu gani? Hivi hufikirii kuwa maisha yanasonga mbele hayarudi nyuma? Hufikirii kwamba muda mnaoupoteza kwa kukaa pamoja ni sawa na muda mngeutumia kama mngekuwa na ndoa?

Tusiwafanye wanawake wasiojielewa kama sehemu ya vipoozeo vyetu vya ngono katika maisha kwa kipindi ambacho tunajua tunaishi nao tu huku pia tukijua hatutowaoa! Kama unampenda usimchakaze kwa kukaa nae muda mrefu, muoe mfurahie maisha yenu ya ndoa mkiwa vijana na sio mnakaa pamoja tu na baadae unamuona hafai na kutafuta mwengine. Maisha sio sehemu ya majaribio ya nani wa kuishi nae.
 
Mama bora huku ni single maza
Eti kisa miaka 10 ya uchumba. Alimkuta bikra? Kabla ya hiyo miaka 10, amechakatwa na wangapi wakamuoa?

MWAMBA AKAZE TU, au kama amependa sana, AOE binti fresh, waanzishe maisha...siku za usoni, awe anapasha pasha na single mama kwa kulipia tu ili kumsaidia kujikimu kimaisha.
 
Ni kweli mkuu, wanapenda vya kuonekana hawaangalii moyo.
 
Yes siyo kila single maza hajitambui mkuu, makosa kila mtu anakosea, na kuna kujifunza kutokana na hayo. Ampe nafasi nyingine.
Angekuwa anajitambua angehimiza waone sio kumkimbilia boya mwenye rav 4 kili time. Matokeo yake kaparamia mume wa mtu. Asaidiwe tu ila sio kuolewa, some mistakes can never be corrected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…