Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Uyo sasa ni veteran kashamaliza vita zake anataka kutulia na wewe. Sio kwamba anakupenda hapana anaamini wewe ni bwege kwake atakupanga utapangika ili mwisho wa siku mtoto wake akue vizuri kwa gharama za hela yako.

Je, utamuoa au hutomuoa hilo sasa ni juu yako mkuu?
Vipi nayeye kumuweka rehani miaka 10, kama ni mtoto yupo darasa tano kabisa.
 
Wasichojua wanawake ni kuwa Kila mwanaume unayemuona amefanikiwa tayari ana mke wake. Hakuna aliye single.
This is 99% true...Kuna mwanamke somewhere alivumilia kiangazi ila mafanikio yakishatimba ndio kila anayemuona mwamba ametakata na madini shingoni, pamba kali amenyooka na prado namba DZ anahisi ana nafasi ya kuwa mkewe 😂😂😂!!!

Wanajilengesha hao na jamaa bila hiyana anamega moja baada ya moja 😁😁😁
 
Huwq wanajisikia vibaya waliowakataa pindi wakiwa peak eti hawana gari au nyumba then after 10 years huja kujuta na kuumia sana mkikutana upo njema zaidi ya ulivyokuwa back
 
Mimi hata mke wangu akizaa na mwingine nampa cheo cha mzazi mwenza na sio mke, kwa maana kwenye mkataba wa ndoa hayakuwepo makubaliano ya kuzaa nje ya ndoa
 
Inaelekea huko ila haifiki, na pia kwa mwanamke anayekupenda umri sio shida saana,
Ila we jamaa nawewe bana una matatizo.

Kwahiyo 15 years huna mwanamke mwingine, hujaoa, huna watoto nk umekaa unafuatilia maisha ya x wako facebook? Inaelekea pia mwanamke alishtuka baada ya kuishi na wewe 10 years hata katoto ka kusingiziwa hakuna, kaenda kwa mwamba chap kapigwa mimba. Jitafakari mkuu.

Mi nakushauri muoe huyo mwanamke maana inavyoelekea huna kabisa uwezo wa kupata mwanamke mwingine.
 
Mara nyingi ma X huwa wanaombeana kufulia[emoji23] sema tabia hii wanayo madem zaidi.
Hasa wanaume akimtosa msichana anatamani apate ka jamaa ka hovyo hovyo na akipata tofauti na alivyoomba huumia sana nakuishia uhuni tu na tamaa ya pesa vilimpeleka kumbe roho inauma.[emoji3]
 
Hasa wanaume akimtosa msichana anatamani apate ka jamaa ka hovyo hovyo na akipata tofauti na alivyoomba huumia sana nakuishia uhuni tu na tamaa ya pesa vilimpeleka kumbe roho inauma.[emoji3]
Wababa wanataka kwanza mwanamke apaukeeee asiwe na mahusiano ya kueleweka ndio furaha yao.
 
Back
Top Bottom