Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Mwanamke hawezi kukaa na MTU kwa miaka 10 Kama hampendi,Sema alihisi muda unamtupa mkono ndio akaona atafute mtu amuoe apate heshima ya ndoa bahati mbaya akaangua pua..ajali kazini
Kwani jamaa angeshindwa kumuoa? Au ndo yale ya kutaka harusi kama ya Nandi na Bilnass wakati bwana wako fundi mageti?
 
Angemkuta na maisha safi naamini kabisa angejiweka pale.
 
Kwani jamaa angeshindwa kumuoa? Au ndo yale ya kutaka harusi kama ya Nandi na Bilnass wakati bwana wako fundi mageti?
Ndio tumuulize huyu mwenzenu miaka yote hiyo kwa Nini alikuwa hamuoi?na anadai anmpenda?
 
Nasisitiza usioe Apo kaka... Usiache hisia ziongoze akili.. isipokua la muhimu msaidie Mia Mia mbili za kujikimu , na kama uko vizur bac mpe mtaji akapambane na maisha yake.. maana ni heri kumpa "mtu ndoano na si samaki .."

Kam alikaa na ww for 10 year's na akaondoka ukitumia kigezo Cha ndoa ili asiondoke unatafuta matatzo tu.. uyo Hana pa kuanzia in short anatafuta pa kujishikiza.

Mpe msaada na Si huruma.

Tazama future yak ... Jiimalishe kiuchumi.. jifunze kupitia makosa ... Mwanaume azeeki utaoa ata na miaka 60 uko ... Lengo ni mwanamke Bora wakujari familia yak

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke akikuacha lazma akufatilie kila kona kuanzia whatsapp, facebook, insta yani atataka ajue una nini ama umepata demu tena. Akiona unapost majungu tu anajua kakuweza 😂😂😂!

Ana kapost kabwana kake kenye Crown
Huh!! Sasa nampost vipi boyfriend tu jamani🙆🙆🙆
 
Ni kweli mkuu ila kumbuka familia zinatofautiana, kuna wengine tumetokea familia ambazo hata ukipata mgeni unamuombea kwa jirani, ni lazima tupunguze umasikini wa nyumbani kabla ya kuanza majukumu ya ndoa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…