Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Nilikuwa nawaza mengi aliponitafuta ila nimeamua nimuache tu aendelee kuteseka.
 
Hata mm Jana x alieyenikimbia kanitafuta anaomba nimsadie buku ya vocha

Bas namm katk kufatiliaga kuwa kaolewa wapi kumbe hajaolewaga yuko Moro kaaenda kujificha kwenye nyumba fln

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naxwew Ni boya kweli miaka kumi ktk uchumba kumbe haya mambo yapo mm nadhAnigi kuwa Ni uzushi kumbe real kbsa unakahh na mtot wa watu miaka kumi aise wew ulishindwa hata kupiga mimba mkuu au Kuna tatizo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo jumla ni miaka 15? Acheni kuwazeesha watoto wa watu. Subiri haya mnayofanya watafanyiwa watoto wenu wa kike mtaona jinsi roho inauma. Karma
Sasa unachomlaumu huyu jamaa ni nini?
Alitaka kumuoa bibie akampenda mwenye Rav4, amepigwa na kitu kizito amerudi kwa mshkaji,kwanza jamaa ana roho nzuri mno kufikia hatua ya kumsikiliza huyo mdada
 
Kwenye mimba kweli niliyumba, ila nilikuwa na mipango naye
 
Miaka 10 kama mnaishi kwa amani nyumba moja hata sio tatizo, mbona Kuna watu hubariki ndoa wakiwa na miaka 50+, kikubwa ingekuwa utambulisho wa pande mbili ili ijulikane kuwa wanaishi pamoja na kulipa mahari, hayo mengine yote ni porojo tu!
Commitment ya "katika shida na raha, mpaka kifo kitutenganishe" sio ya kuiendea pupa ujue...

Haya, sasa aliondoka kuitafuta ndoa ya chap chap, aliipata?
 
Yaani miaka kumi mtu kakuvumilia mapungufu yako eti unaona kosa lake ni kosaaa kubwaaaa tafuta malaika mkuu ufunge nae ndoa bila kusahau bikra.
 
Mara nyingi ma X huwa wanaombeana kufulia[emoji23] sema tabia hii wanayo madem zaidi.
Very true,mdada mmoja jana alikuwa anasimuliwa na rafiki yake kwamba X wake amefulia na kupauka mno, mdada kafurahi kweli kweli, nikamsikia "akome na bado, yaani anavyoteseka mimi moyo wangu kwatuuuu"

Nikajisemea moyoni, aisee hii dunia INA mambo sana!
 
Wanawake ni watu wa ovyo sana japo si wote. Alishakudharau akakupiga chini.

Kasikilize "dear ex" wa Marioo. Wajuba huwa haturidiagi matapishi.
 
Sawa alikuacha ila Mimi naona alikuwa ana haki kabisa kuachana na wewe, miaka 10? Unamfanya tu Mtoto wa watu hata kwao haujajitambulisha yaani hakuna process yoyote uliyoifanya ili awe na uhakika kwamba ndio wewe, miaka 10 aendelee kubeti??..... Usimlaumu kwanini alikuacha na isijekuwa bado haujaoa pamoja na muda mrefu wote huo. Mwanamke Ili akuvumilie anahitaji assurance kwamba uvumilivu wake siku Moja utazaa matunda akipiga mahesabu akikuta hamna matunda hata ungekuwa wewe usingekaa
 
Umeandika ukweli mkuu
 
Si bora angebeti kwangu kuliko huko alikoenda
 
Kama ni destiny yao watakua pamoja tu no matter what!! Labda jamaa amkazie though bado anamkubali na kumpenda pia
Hakuna Cha destiny Wala Nini.

Watu njaa zimewashika

Si alikimbilia RAV 4.

Ungesema.ni destiny labda wangeachana kwa sababu zingine zenye mashiko.

Jamaa akimrudia tu AMEKWISHA atakuja hapa kuleta mrejesho au VINGINEVYO.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…