Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Hujui la kufanya? Mungu anakupenda anakuepusha na balaa kwa kujuonesha ishara za wazi kabla hujadumbukia shimoni na wewe bado unang'ang'nia tu.
Tafuta mke mwingine, omba urudishiwe mahari yako
 
Kaishakuonesha uoande wa pili ulivyo, achana nae huyo, na ukilazimisha sana shetani atakuingia mazimaa uje kufany jambo baya na uje kujutia baadae, maisha bado yapo sana, anza upya kama ulivyoanza mwanzo.
 
sasa wewe mbona Mwenyezi Mungu anakupenda na ameamua kukufunulia mapema na inatakiwa umshukuru sana Bro ?

imagine ungefunga naye ndoa nini kingetokea mbele ?

Jamaa yangu kaoa kwa ndoa kubwa sana baada ya ndoa Mke kupika hataki,ndani hashishiki,Jamaa akitoka kazini inabidi akatafute chips aje ale na mkewe.

Baada ya miezi miwili ya ndoa Mke alibeba milioni 9 ya Mumewe akatokomea kusikojulikana siku moja Mume anapiga simu ya Mkewe inapokelewa na Njemba nyingine Mume anaambiwa aache ufala na aharakishe talaka ya aliyekua Mkewe yeye hana hadhi ya kuishi na Mke mzuri kama yule.

we mshukuru sana Mwenyezi Mungu piga chini kila kitu kimbia usiangalie nyuma nenda kaanze moja .
 
hisia zimeisha kabla ya ndoa, na mkiingia kwenye ndoa si atakuona nyau kabisa


ata akibadir mawazo usirudiane nae, utakuja kunishukuru
au ukitaka kuwa philosopher mbembeleze akurudie
 
Pole sana..piga chini..jipange upya
 
Suala la bf na gf sijui tumeishi miaka 10 bila ndoa huwa nayaona kama ni uzinzi tu kama uzinzi mwingine
Kama ulikuwa huna ndoa nae miaka yote basi kuna wengine nao hawana ndoa nae wanajilia
Na mmoja wao ndio kamwambia achana nalo
Mimi ntakuoa
Sasa ushauri wangu achana nae wala usidai kitu ila kawajulishe wazazi wake kama unakujua kwao labda alikupeleka kwa washikaji tu
Maana kujuana ukubwani mbaya nayo hujui hata alikotoka

Nenda kawaambie arusi imevunjika
Arusiii imevunjika, nilietaka kumuoa, amenikatalia bila kosa
Ni wimbo wa Mwinshehe
 
Mkuu hii story yako km ni kweli BASI hali inatisha...
 
Jitahidi kuongea na MUNGU vizuri kama ni mpango wa MUNGU basi atakwenda zake ila kama si mpango wa MUNGU nyie kuachana ni mapenzi ya mwanadamu Basi atabaki kwako..
Wengi hawadumu kwa mahusiano na ndoa kwakua wanamsahau sana MUNGU,
(si kila mtu anapenda kuona Tabasamu lako usoni).
 
Kikubwa kadai mahari yako (ok inaweza isirufi kwasababu ulikuwa ukiichakata mbususu bure). Kikubwa ni kutambua kuwa Mungu bado anakupenda kwa kukufunulia ishara zake mapema kabla hujanasa ktk huo mtego na kujutia mbeleni.Cha Msingi wewe temana nae anza maisha mapya bila yeye.

Huyo mwanamke ni malaya, huko alipokwenda amekwenda kwa mwanaume wake aliyekuwa akimnyandua pindi bado upo kwenye mahusiano nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…