Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Me sielewi aseeKwamba anakua hajali faragha !! Au hapewi romance na hakunwi vizuri Ndiomana hata anapata huo muda wa kushika simu!!
Hatariii narobotatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me sielewi aseeKwamba anakua hajali faragha !! Au hapewi romance na hakunwi vizuri Ndiomana hata anapata huo muda wa kushika simu!!
Hatariii narobotatu
Ndio ipi?Weka side B ataacha kuchat maramoja
Ndiooooo ndiooooo! Hapo kazi tuuu💪💪Me hata vidole sishiki
Babu yako hazeeki maini moto ule ule
HqtareeNdiooooo ndiooooo! Hapo kazi tuuu💪💪
Inapendeza sana
Bora yeye kaamua kua mkweli, wanawake wengi huwa wana fake kulialia during sex!!Mteja; Money Penny
Money Penny: ndio boss
Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu
Money penny: nini tena jamaan
Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya
Imagine wakati nampa utamu kitandani yeye anachat na simu anaongea na simu sasa ndio nini?
Money Penny: haya wanawake mje mumsaidie mteja swali lake me bado nimevurugwa na habari za Burna Boy, P.Diddy na Mondi wenu,
Ila ile miguno ya Burna Boy jamaan, naskia kutapika
kama ngono alihudumiwa charting ya wateja wenza inamhusu niniMteja; Money Penny
Money Penny: ndio boss
Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu
Money penny: nini tena jamaan
Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya
Imagine wakati nampa utamu kitandani yeye anachat na simu anaongea na simu sasa ndio nini?
Money Penny: haya wanawake mje mumsaidie mteja swali lake me bado nimevurugwa na habari za Burna Boy, P.Diddy na Mondi wenu,
Ila ile miguno ya Burna Boy jamaan, naskia kutapika
Mi naona unatusumbua tu money P wangu.Mteja; Money Penny
Money Penny: ndio boss
Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu
Money penny: nini tena jamaan
Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya
Imagine wakati nampa utamu kitandani yeye anachat na simu anaongea na simu sasa ndio nini?
Money Penny: haya wanawake mje mumsaidie mteja swali lake me bado nimevurugwa na habari za Burna Boy, P.Diddy na Mondi wenu,
Ila ile miguno ya Burna Boy jamaan, naskia kutapika
Pole kwa kufekiwa bossBora yeye kaamua kua mkweli, wanawake wengi huwa wana fake kulialia during sex!!
Makasiriko vepe?kama ngono alihudumiwa charting ya wateja wenza inamhusu nini
Acha wenye upendo wasaidie binadamu wenzao basiMi naona unatusumbua tu money P wangu.
Kitu ambacho sikipendi kabisa ni ile mtu jambo kalifanya yeye halafu analileta ki 3rd party, watu linaanza kuwasumbua kulitafutia majibu.
Mnaumiza kichwa kitu cha kumjibu, kumbe mwenzenu anawang'ong'a nyuma ya visogo vyenu kwa ulimi nje!
Wewe wapata raha sana kuwasanifu, lakini wenzako wanatumia energy zao ku create responses bhana!
Ni mtundu sana wewe, hakuna mwanamke mwingine anaweza fanya hiko kituko hata awe anajiuza, ni wewe huyo.
Nakazia hapaKuna namna anaonyesha haridhishwi na hiyo mizagamuo ,yaani hakuna unachokifanya ndio maana anaendelea na mambo mengine , kama nzii kukaa mgongoni mwa tembo tu hakizuii shughuli nyingne za tembo.
Nakazia hapa
Ivi upo wewe?Duh aiseee
Ivi upo wewe?
Kitambo sana
Unakumbuka ulivyokuwa bikra ulikuwaje?
Nimekumbushwa mbali Nimeulizwa kama nakumbuka ulivyokuwa bikra ulikuwaje? Eti na wewe ulivyokuwaga bikra ulikuwaje? Je unamiss kurudi kuwa bikra au ukae hapo hapo?www.jamiiforums.com
SauwaNipo,harakati za maisha tu zinatupumzisha kwa muda
Asante, yaani saa zingine unakuta mdada analia hadi unazani unamuumiza sana,ukichomoa tu na kilio kinaisha hapo hapo!!Pole kwa kufekiwa boss
Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?
Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...www.jamiiforums.com