Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Hongera boss kwa kufanyiwa usaniiAsante, yaani saa zingine unakuta mdada analia hadi unazani unamuumiza sana,ukichomoa tu na kilio kinaisha hapo hapo!!
Na pole pia
Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....
Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...