Anatumia simu yake wakati wa kufanya tendo la ndoa? Sijapenda kabisa, nifanyaje?

Assume ndio wewe dadalakeee unadhani nini yaeza kuwa probleee???😄

Unapataje muda wa kushika simu na burooo yuko anakupelekea🔥🔥????/ Mpo faragha???



Mfano tu

Cc Smart911
Me hata vidole sishiki
Babu yako hazeeki maini moto ule ule
 
Bora yeye kaamua kua mkweli, wanawake wengi huwa wana fake kulialia during sex!!
 
kama ngono alihudumiwa charting ya wateja wenza inamhusu nini
 
Mi naona unatusumbua tu money P wangu.

Kitu ambacho sikipendi kabisa ni ile mtu jambo kalifanya yeye halafu analileta ki 3rd party, watu linaanza kuwasumbua kulitafutia majibu.

Mnaumiza kichwa kitu cha kumjibu, kumbe mwenzenu anawang'ong'a nyuma ya visogo vyenu kwa ulimi nje!

Wewe wapata raha sana kuwasanifu, lakini wenzako wanatumia energy zao ku create responses bhana!

Ni mtundu sana wewe, hakuna mwanamke mwingine anaweza fanya hiko kituko hata awe anajiuza, ni wewe huyo.
 
Bora yeye kaamua kua mkweli, wanawake wengi huwa wana fake kulialia during sex!!
Pole kwa kufekiwa boss
 
kama ngono alihudumiwa charting ya wateja wenza inamhusu nini
Makasiriko vepe?
 
Acha wenye upendo wasaidie binadamu wenzao basi
We kaa na roho mbaya yako uteseke kivyako

 
Asante, yaani saa zingine unakuta mdada analia hadi unazani unamuumiza sana,ukichomoa tu na kilio kinaisha hapo hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…