Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru

huo ni utaratibu mbovu sana! kulala na kula ndo anatakiwa alipie kwanza ila zile extra services ndo analipia baadae sasa acha waburutane na nyumbu...😂
Kuna maelezo yanakosekana hapa. Sidhani kama ni mtu hohehahe amejitokea tu nyumbani na kwenda kufanya haya. Ni hoteli gani wataruhusu mtu kukaa siku zote hizo bila kulipa huku anakula na kulala?
 
Serena Hotel Management has to be very careful with this case. It may expose them negatively to the public. If I were their advisor on this, I would tell them not to institute even the civil case against that 'hooligan'. Serena Hotel faulted and it has to carry its consequences and re-arrange itself.
 
Bila shaka hakimu ameamua hivyo ili kuwezesha hotel kuweza kupata malipo yake. Maana kama angeendelea na jinai kisha mhusika akafungwa mdai hawezi kuja tena kufungua kesi ya madai maana atazuiliwa kuwa kipengele kuwa kesi ilishaamuliwa tayari.
 
Kwahiyo jamaa anaweza wadai fidia na vinywaji kanywa, watanzania kazi zinazotufaa ni mgambo wa jiji, hizi zingine tuwaachie wakenya wahindi na waganda
 
Bila shaka hakimu ameamua hivyo ili kuwezesha hotel kuweza kupata malipo yake. Maana kama angeendelea na jinai kisha mhusika akafungwa mdai hawezi kuja tena kufungua kesi ya madai maana atazuiliwa kuwa kipengele kuwa kesi ilishaamuliwa tayari.
Tangu awali wangefungua kesi ya madai, hawa mameneja tunawatoaga wapi? Itabidi nikaombe kazi ya kufua mashuka hapo kuna hela za bure
 
Bila kapicha wala hainogi,mwamba angeweza akazawadiwa nyumba yenye hadhi ya Serena walikompeleka rupango🤪
 
Ukute mwamba alikuwa anaenda na Pisi ili aonekane matawi ya Juu
 
Polisi aliyeandaa kesi hiyo Dpp atafutwe alishindwaje kutambua hiyo ni madai
 
😁 Baba wa mtu fulani na ni mume wa mtu fulani huyo..
sasa mpaka anakula hawakujua kuwa anakula nakulala na utaratibu si mtu huwa analipa kwanza ndo anatumia au vipi...?
Mkuu ushalala hata Hotel ya nyota tatu? Watu huwa wanalipa siku wana check out. Na katikati hapo unatoka hotelini unaenda kupiga misele. Jamaa atakuwa kachukua advantage ya utaratibu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…