March 6,2022 hadi hadi March 28,2024 alikuwa analala bila kulipa, tuambiane ukweli huku ni kudhalilishana, kwa akili ya kawaida haingii akilini, Kule Gurmet na Sopa Lorge booking za 2024 zilishajaa na hela ishalipwa tayari, huyu aliwezaje kuchk in and out kirahisi tu, usijekuwa alikuwa anaaga kwa mkewe anaenda merelani kufata mzigo, sikuvunjiana ndoa hukuHakuna kesi hapo.