Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru

Unaweza kuta tangu waanze biashara hapa Tz hajawahi kutokea mteja kama huyu. Nafikiri kuanzia sasa wataanza kuangalia watu usoni
Kwa serena hii sio kesi ya kwanza, wapo wanasiasa washadaiwa mihela kibao, viongozi washawapangishia vimada wakagoma kulipa, hii ndio picha halisi ya uwekezaji tz unapigwa mchana kweupe na hamna msaada, ingekuwa dubai washakata kichwa siku nyingi
 
Tangu awali wangefungua kesi ya madai, hawa mameneja tunawatoaga wapi? Itabidi nikaombe kazi ya kufua mashuka hapo kuna hela za bure
Swali la kujiuliza hivi hotel kubwa kama Serena haina mwanasheria? Na kama yupo hakujua tangia mwanzo kama hili shauri ni la madai mpaka wakampeleka Polisi kijinai?
Hakika tuna watu wanaojiita wasomi maofisini lakini vichwani ni bure kabisa
 
๐Ÿ˜ Baba wa mtu fulani na ni mume wa mtu fulani huyo..
sasa mpaka anakula hawakujua kuwa anakula nakulala na utaratibu si mtu huwa analipa kwanza ndo anatumia au vipi...?
Kenzy eh acha kuniaibisha mkuu. Hotel kubwa zote huduma hutolewa kwanza then malipo baadae(check out). Pia unatakiwa ufahamu kuna watu au taasisi wanapata huduma on credits then wanalipa baadae, mbona hili ni swala dogo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu bwana Kenzy?๐Ÿค”๐Ÿ™„
 
mh! mambo yameshabadirika watu hulipia kulala kwanza nakula,na pia kama kama atafanya extra services hizo ndio hulipia wakati anatoka wewe ndio unaniaibisha!,by the way kila hotel na utaratibu wake lkn kwa utaratibu wa kutumia kwanza halafu alipe baadae ni utaratibu wa hovyo sana!
 
Bwana Kenzy umeshawahi kulala hotel gani kubwa nchini? Tuanzie hapo kwanza alafu twende with facts on service provision.
 
Bwana Kenzy umeshawahi kulala hotel gani kubwa nchini? Tuanzie hapo kwanza alafu twende with facts on service provision.
sijawahi ila navyofahamu ktk vyanzo vyangu vya hakika wanalipa kwanza zile night atakazolala na kama kuna gharama za chakula hulipia moja kwa moja.. so kuna inclusive services na extra hizi extra ndio hulipia baadae!.
utaratibu hutofautiana baina ya hotel na hotel hicho ndio nachofahamu.
 
Wewe labda unaongelea lodge za mtaani ila kwenye hotels kubwa huwa wanahesabu bili hadi siku ya mwisho unayoondoka ndio unalipa.
 
Wewe labda unaongelea lodge za mtaani ila hotels kubwa huwa wanahesabu bili hadi siku ya mwisho unayoondoka ndio unalipa.
haha! ngoja nikuache kama ulivyo ila nikuambie ukweli waulize wenye hotel ndio huwa wanajua vichwa vya wageni wao walivyowasumbufu!.. ndio maana wakaweka utaratibu wakulipia kwanza ukiona kaenda kulipia wakati anatoka huwa ni extra charge labda alitumia vitu vyengine vya ziada!.. ndio maana nikaandika kama hao Serena wanamlipisha mteja bills zote siku anatoka basi ni utaratibu wa hovyo sana!.
 
Wewe labda unaongelea lodge za mtaani ila kwenye hotels kubwa huwa wanahesabu bili hadi siku ya mwisho unayoondoka ndio unalipa.
Siyo kweli...
Kwa mtu binafsi hupaswa kulipia malazi kabla ya kuingia. Gharama unazoweza kulipia mwishoni ni kama laundry, chakula na vinywaji.

Wanaoruhusiwa kupata huduma ya malazi na kulipia baadae ni taasisi za serikali, mashirika na makampuni kwa mikataba maalum.

Kwa case ya huyu mwamba wa serena kuna taarifa hatujaelezwa na lazima alifanya udanganyifu kupitia mkataba fulani wa malazi.
 

Hawa machalii wa Moshi mbwembwe nyingi sana kumbe sanaa tupu..fuatilieni vizuri...lazima ni kule kule connection. Kama yule mzee asiyechana nywele ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ