Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

Mna mambo ya kijinga sn huko CDM. Anyway endeleeni tu ila msisahau kwamba hamna mtakachobadilisha otherwise Mungu mwenyewe apende
Una macho lakini HUONI...
Una masikio lakini, HUSIKII...
Una pua lakini, HAIWEZI KUNUSA...

Wewe unataka Mungu apende kwa style ipi ndo ueone na kuelewa? Huoni? Husikii? Hata kunusa hunusi..????

Mungu yupo kazini sasa kufutilia mbali tawala na serikali za kihayawani kote duniani, akianza na hii ya Samia na CCM yake hapa TZ....
 
Chadema ni kiwanda cha uongo
Usihukumu bila kufanya utafiti nenda hapo kwenye eneo lilotajwa. Utapata uhakika hayupo devotha.
Familia nendeni na ushahidi kwenye ubalozi wa marekani mtapata msaada wa haraka
 
Mambo mengine ni ya kujitakia tu
ukitoa ushahidi lazima ufe.lazima
Apumzike anapostahili!
 
Kwa nini watu wamekosa akili kiasi hiki? Fikiria muuaji mkuu ndiye ameunda tume, hujiulizi ameunda tume kwaajili ya nini wakati yeye kama muuaji mkuu anajua yote aliyoyafanya, yeye binafsi na watu wake wote. Fikiria mauaji makubwa yamefanywa na kundi kutoka nyumbani kwake Zanzibari, kila kitu kikisimamiwa na mtoto wake, hivi unaamini kuna chochote asichokijua?

Tume hii ipo kwaajili ya kulinda uovu kwa gharama yoyote ile. Unaenda kutoa taarifa tume, ukiondoka wanawasiliana na muuaji, muuaji anawatuma wauaji wake waondoke na wewe.
 
Huyo Dada nae akili zake aliziweka wapi, hivi hio ni tume kweli au majambazi yaliyovaa suti
 
Una macho lakini HUONI...
Una masikio lakini, HUSIKII...
Una pua lakini, HAIWEZI KUNUSA...

Wewe unataka Mungu apende kwa style ipi ndo ueone na kuelewa? Huoni? Husikii? Hata kunusa hunusi..????

Mungu yupo kazini sasa kufutilia mbali tawala na serikali za kihayawani kote duniani, akianza na hii ya Samia na CCM yake hapa TZ....
Mtabaki kuomba mabaya tahamaki 2030 hiyo na Samia anastaafu
 
Nimetoka kupokea ujumbe kutoka kwa the so called TUME kwamba nitume ushahidi nikawekewa na namba ya simu.

Nilichofanya ni KUPIGA BLOCK sababu najua itakuwa kujaziwa hiyo meseji kila baada ya dakika!!

Ni kupotezeana muda tu.
 
Iwe kweli au uongo hata chawa wenyewe hawawezi tuma ushahidi huko, utadakwa juu kwa juu.
 
Back
Top Bottom