tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Mambo yanayomchanganya Diamond ni haya:
Jamaa anajua san sijui kwa nn ananza kujichanganya kiasi iki yaani nachukzwa sana na huu mtindo aliouanzishaMambo yanayomchanganya Diamond ni haya:
A. Bill za nyumba tatu 1. Madale 2. Mobeto 3. South anakoishi Zali.
B. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba
C. Kuishiwa mkwanja na kuanza kuuza Karanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si shabiki wa diamond hata siku,Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
"unatuaibisha" na nani? jisemee mwenyewe,Kipusa naye [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]....Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
It won't take long kwenye anga za muziki. Ni idea nyepesi sana maana ilishafanywa na matonya. Kilichofanyika ni kubadilisha beat na kuongeza viujanja ujanja.Hii zilipendwa ni ngoma kali sana kuwahi kutokea katika muziki wa africa.
Wewe mtoa maada jiongelee mwenyewe...mimi kam shabiki nimeikubali kinoma
Hapa niko nainywea chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijitu mingine imekalia akili zao..Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ww Chinga One moyo unakusuta kuwa jamaa yetu kawa mtumwa wa fikra anamuwaza sana kiba kuliko ubora wa kazi."unatuaibisha" na nani? jisemee mwenyewe,Kipusa naye [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]....
Sasa si ndo nashangaa jitu linasema WCB wametoa ngoma kushindana na alikiba.We mpumbavu kweli
Sasa alikiba na young Money wap na wap
days are numbered
Kila MTU apambane na hali yake..!