Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Mi sio team domo wewe

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Umenilipia bando ? Umeninunulia simu usinipangie cha kuandika

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Unataka umonter wa jamii forum au????

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Aimbe mziki wowote ule hata bakulutu, reggae, rnb MUHIMU pesa, we endelea kuhoji mpaka kihama. Na najua hata wimbo wake ukipigwa lazima utikise mguu [emoji3][emoji3]

Powered by www.index.co.tz
 
amekusikia

Madaraka ya kulevya
 
mimi sio shabiki wa mziki wa diamond au ali kiba ila wewe mtoa mada mawazo yako yanaonekana zilipendwa
 
Hii zilipendwa ni ngoma kali sana kuwahi kutokea katika muziki wa africa.
Wewe mtoa maada jiongelee mwenyewe...mimi kam shabiki nimeikubali kinoma
Hapa niko nainywea chai

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm mnanifurahisha kwa kujitia moyo while deep inside mnaumia kinyamaa madudu anayoyafanya boss wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshabikie Kiba achana na diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie mnachonga jamaa anaendelea kutawala soko kila uchao ....nyimbo imetoka jana lkn huku mtaani kila sehemu nakoenda naisikia yenyewe tu ...ile bw yule sijawahi hata kuisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu mingine imekalia akili zao..
Ina maana YOUNG MONEY wanavotoa nyimbo ya pamoja wanashindana na alikiba?

Yani kuna mijitu inafaa ianguke ife tuu maana huku dunian inamaliza hewa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hashindani nae kwann alisubiri kiba atoe tena siku hiyohiyo aliotoa kiba ukweli mnaujua sema mnajitia wendawazimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…