- Thread starter
- #41
Coton with your condition mkuu
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
akili za timu domo bwana! so hapa umejibu hoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coton with your condition mkuu
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Pambana na hali yako mkuu
amekusikiaDiamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah,,, imekaa kama pambio ,,, nadhani lengo ilikuwa kuwavuta wapenda pambio
Akili kama yako utaelewa nini?Yeah,,, imekaa kama pambio ,,, nadhani lengo ilikuwa kuwavuta wapenda pambio
Sent using Jamii Forums mobile app
aseeee poleMijitu mingine imekalia akili zao..
Ina maana YOUNG MONEY wanavotoa nyimbo ya pamoja wanashindana na alikiba?
Yani kuna mijitu inafaa ianguke ife tuu maana huku dunian inamaliza hewa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo roho mbaya yake ndo inasababisha hataki wenzake wafanikiwe yaani tz nzima anataka asikike yeye tuJamaa anajua san sijui kwa nn ananza kujichanganya kiasi iki yaani nachukzwa sana na huu mtindo aliouanzisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm mnanifurahisha kwa kujitia moyo while deep inside mnaumia kinyamaa madudu anayoyafanya boss wenuHii zilipendwa ni ngoma kali sana kuwahi kutokea katika muziki wa africa.
Wewe mtoa maada jiongelee mwenyewe...mimi kam shabiki nimeikubali kinoma
Hapa niko nainywea chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshabikie Kiba achana na diamondteh teh teh teh teh teh teh!
huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline. Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011, 2012,2013,2014, siyo kama miziki tunayoiona ikiimbwa na msanii huyu. kwa sasa ni kama kapoteza mwelekeo.
duuhhh! laana ya baba yake inamtafuna na kwa hali hii muda si mrefu si kuuza karanga tu Bali hata kukusanya taka kitamhusu
Kama hashindani nae kwann alisubiri kiba atoe tena siku hiyohiyo aliotoa kiba ukweli mnaujua sema mnajitia wendawazimuMijitu mingine imekalia akili zao..
Ina maana YOUNG MONEY wanavotoa nyimbo ya pamoja wanashindana na alikiba?
Yani kuna mijitu inafaa ianguke ife tuu maana huku dunian inamaliza hewa bure
Sent using Jamii Forums mobile app