Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Teh teh teh teh teh teh teh!

Huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline.

Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011, 2012,2013,2014, siyo kama miziki tunayoiona ikiimbwa na msanii huyu kwa sasa ni kama kapoteza mwelekeo.

Duuhhh! kwa hali hii muda si mrefu si kuuza karanga tu bali hata kukusanya taka kitamhusu
 
Maybe Diamond anajaribu kuonesha mashabiki uwezo wake wa kubadilika .......kwa mfano Chris brown
sometimes na yeye anachana kabisaa au Drake kuna mida na yeye anabana sauti though ni mtu wa hip-hop
 
Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom