Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

No 8 kwahiyo wanaokwenda makanisani ni mataahira ? Hata wasiokuwa na akili timamu wanaenda na wanapokea uponyaji Mungu anawahitaji waliopondeka mioyo elewa hilo
 
Mashahidi wa Yehova..kanisa moja matata sana,wapo so smart,ustaarabu wa mbele mbele huko,usitarajie kufundishwa Mambo ya Uswazi like that..utanishukuru
 
Winners Chapel International .... a.k.a Living Faith Church
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
 
Mimi sikushauri juu ya kanisa lipi...ila ushauri wangu ni kukuhimiza kuomba mungu huyo wa YESU Kristo akuonyeshe pa kusali...kwa kipindi cha sasa...hali ya imani imekuwa tata sana kujua wapi panafaa...ila ukimwomba mwenye kanisa(YESU) atakuongoza maana pekee ndio anauchungu na roho yako..sie wengine humu ni marketing officers wa madini yetu..hatuna pa kukupele siku ya mwisho...OMBA MUNGU na atakuunganisha na mahali sahihi kwako.
 
Uko sahihi kwa sasa mtu lazima aombe mwenye Kanisa Yesu mwenyewe amuonyeshe pa kusali na ataonyesha .Hali si nzuri
 
Mkristo wa kweli ni lzm alitaje jina la YESU KILA amalizapo kuomba na sio mungu wa ...,madhabau ya...anatajwa mtume au nabii.Hapo ni chaka.Mponyanyi ni Mungu Jehovah kupitia YESU Kristo wa Nazareth mfufuka.
 
Chochote mtakachoomba kwa jina langu (YESU) mtapewa.Ukiona mchungaji nabii anakwepa Sana kulitaja jina la YESU au wale wenye mabogigadi hadi kwenye madhabau wale ulinda mtu asipite nyuma ya mchungaji nabii au mtume ndipo ilipo nguvu yake ya uchawi.Maji ya upako ni maji ya kuoshea maiti,mafuta ya upako ni mafuta ya watoto wachanga au sehemu za Siri za wanawake zilizochomwa kitaalamu yakapatikana matone ya mafuta kisha unenewa maneno ya kichawi kisha uchanganywa na mafuta ya mizeituni au mafuta ya kula kwa malengo maalumu ya kipepo.So hata shetani yupo kanisani.
 
usizunguke zunguke ndugu.. Njoo tuungame ubatizo mmoja wa maondoleo ya dhambi,tusubirie ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo.
Mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za ulimwengu atakuhurumia

Bwana awe nanyi nyote....[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…