Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

kanisa Kama Hilo ,lilikuwepo miaka ya 90's na kurudi nyuma,sikuhz ni uhuni mtupu!!
 
Niliwahi kuhudhuria kanisa fulani siku ya ijumaa kuu nilikoma

✔Hakuna ratiba yoyote mtafuata kile mchungaji anasema
5
✔ Ngoma na mapambio kama kawaida siku ya kumbukumbu ya kifo wao wanaimba nyimbo za furaha hata za kuzaliwa

✔Watu wamekuja na mavuvuzela kelele. ni balaa

✔Mchungaji anaongea kwa sauti ya juu tena ya kukoroma.basi ni fujo tupu. Nilikoma.sirudii.tena bora nisali mwenyewe chumbani nikikosa sehemu hakuna
kanisa nililozoea
 
Mimi ni Mkatoliki lakini ikitokea nikahamia dhehebu jingine basi itakuwa Mashahidi wa Jehova.
Nakusihi jiunge na kanisa moja wapo kati ya haya mawili.
 
Karibu Tanzania Assemblies of God,

Utakua mahali salama.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Sio KILA kanisa ni la kuingia mengine ni mahekalu ya shetani
 
Acha kutochosha wewe kasali kokote
 
Mwaka Jana nilihamia kkkt kumfuata mwanaume, sijutii kabisa ukiingia kanisani unauhisi uweponi wa Mungu sio nilikotoka unaenda kusali kama onyesho tu na kutembea,

Udhaifu wa kkkt michango mingi mno ila nachangia palipo na ulazima tu mingine isiyo na mantiki nakauka km sio mie,, yote kwa yote nabarikiwa sana tangu niingie pande hii Yani, Nina furaha na amani ya kweli,
 
Wana kkkt tunakukaribisha sana kipenzi we changia ambayo Mungu amekugusa uchangie ila kiukweli kkkt tuna michango sana bado haujaingia jumuiya hapo
 
Wana kkkt tunakukaribisha sana kipenzi we changia ambayo Mungu amekugusa uchangie ila kiukweli kkkt tuna michango sana bado haujaingia jumuiya hapo
Asanteni Sana,, kwa huduma za kiroho mko vizuri mno, unamuita Mungu na anaitika, mfumo wa kiuongozi pia mko Safi, kwenye michango ndo patashika, all in all faida za kkkt kwangu Mimi Ni nyingi
 
Asanteni Sana,, kwa huduma za kiroho mko vizuri mno, unamuita Mungu na anaitika, mfumo wa kiuongozi pia mko Safi, kwenye michango ndo patashika, all in all faida za kkkt kwangu Mimi Ni nyingi
Ameen Ameen [emoji120][emoji120]
 
Asanteni Sana,, kwa huduma za kiroho mko vizuri mno, unamuita Mungu na anaitika, mfumo wa kiuongozi pia mko Safi, kwenye michango ndo patashika, all in all faida za kkkt kwangu Mimi Ni nyingi
Msalimie malalusa
 
Shida ya katoliki haina mafunzo ya kutosha yanayoweza kukujenga kiimani. Labda ujiunge charismatic
 
Shida ya katoliki haina mafunzo ya kutosha yanayoweza kukujenga kiimani. Labda ujiunge charismatic
Tena bora zaman sasa hivi ndo umbeya mtupu had I kwenye jumuiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…