Nzige Mweusi
Member
- Oct 11, 2021
- 30
- 92
[emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa baadhi ya makanisa, wapo vizuri hasa mijini.TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD
Mafundisho ya utoaji yawe na kiasi, na idadi ya sadaka iwe ya kawaida.Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
That makes you looking for another place of worship. May be we are going to have something to learn from you.Why?
Karibu Tanzania Assemblies of God,Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Sio KILA kanisa ni la kuingia mengine ni mahekalu ya shetaniNiliwahi kuhudhuria kanisa fulani siku ya ijumaa kuu nilikoma
✔Hakuna ratiba yoyote mtafuata kile mchungaji anasema
5
✔ Ngoma na mapambio kama kawaida siku ya kumbukumbu ya kifo wao wanaimba nyimbo za furaha hata za kuzaliwa
✔Watu wamekuja na mavuvuzela kelele. ni balaa
✔Mchungaji anaongea kwa sauti ya juu tena ya kukoroma.basi ni fujo tupu. Nilikoma.sirudii.tena bora nisali mwenyewe chumbani nikikosa sehemu hakuna
kanisa nililozoea
Acha kutochosha wewe kasali kokoteKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Wana kkkt tunakukaribisha sana kipenzi we changia ambayo Mungu amekugusa uchangie ila kiukweli kkkt tuna michango sana bado haujaingia jumuiya hapoMwaka Jana nilihamia kkkt kumfuata mwanaume, sijutii kabisa ukiingia kanisani unauhisi uweponi wa Mungu sio nilikotoka unaenda kusali kama onyesho tu na kutembea,
Udhaifu wa kkkt michango mingi mno ila nachangia palipo na ulazima tu mingine isiyo na mantiki nakauka km sio mie,, yote kwa yote nabarikiwa sana tangu niingie pande hii Yani, Nina furaha na amani ya kweli,
Asanteni Sana,, kwa huduma za kiroho mko vizuri mno, unamuita Mungu na anaitika, mfumo wa kiuongozi pia mko Safi, kwenye michango ndo patashika, all in all faida za kkkt kwangu Mimi Ni nyingiWana kkkt tunakukaribisha sana kipenzi we changia ambayo Mungu amekugusa uchangie ila kiukweli kkkt tuna michango sana bado haujaingia jumuiya hapo
Ameen Ameen [emoji120][emoji120]Asanteni Sana,, kwa huduma za kiroho mko vizuri mno, unamuita Mungu na anaitika, mfumo wa kiuongozi pia mko Safi, kwenye michango ndo patashika, all in all faida za kkkt kwangu Mimi Ni nyingi
AsanteMimi ni Mkatoliki lakini ikitokea nikahamia dhehebu jingine basi itakuwa Mashahidi wa Jehova.
Nakusihi jiunge na kanisa moja wapo kati ya haya mawili.
Msalimie malalusaAsanteni Sana,, kwa huduma za kiroho mko vizuri mno, unamuita Mungu na anaitika, mfumo wa kiuongozi pia mko Safi, kwenye michango ndo patashika, all in all faida za kkkt kwangu Mimi Ni nyingi
Tena bora zaman sasa hivi ndo umbeya mtupu had I kwenye jumuiyaShida ya katoliki haina mafunzo ya kutosha yanayoweza kukujenga kiimani. Labda ujiunge charismatic