Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Hizo sifa ulizotaja ni ndogo kuliko za Msingi! Yaani mbali na sifa hizo lazima liwe Kanisa ambalo wanaamini Wokovu katika Kristo Yesu na Ubatizo wa maji tele harafu liwe linafundisha Utakatifu katika Mavazi,Ndoa,na kukataaa mambo ya kidunia.
Kwa muktada huo madhehebu hayo mengi ni ya Kilokole ambayo bahati mbaya siyo ya Kitaasisi! Kimuundo yanaonekana ni mali ya Askofu au Mchungaji!
 
Linabagua Na kutenga waumini kwa migongo ya sacrament, Halitoi huduma kwa baadhi ya watu pasipo kuwasaidia watoke waliko, halibatizi watoto hadi maoni ya jumuiya, Halina umoja wakati wa matatizo
 
Kanisa ni moja Takatifu(limeungana na watakatifu) Katoliki (universal )la Mitume (Mitume wa Yesu ndio makuhani wa kwanza) Lililoanzishwa na Kristu Mwenyewe siku ya pentekoste.

Hivyo kanisa Katoliki ndio kanisa pekee lenye mfumo wa kitaasis unaofanana duniani kote.

Karibu wine tutafakari pamoja azimisho la kupaa kwa Kristu Mfufuka huku tukisubira ujio wa roho mtakatifu (Pentekoste).

Endelea kuburudika na kibao hiki

 
Karibu MORAVIAN lipo mabibo dsm wilaya Ubungo. Pia lipo mikoa yote na wilaya zote Tz
 
1. Makanisa ya CCT

2. RC
 
CCC-UPANGA lina kufaa ila linakosa sifs
CCC- TAG Upanga lina sifa zako ila

1.halina mfumo wa kitaaasisi,pastor is everything and leaders are just symbols there.

25. linategemea uwepo wa mchungaji,

kama hujali hayo hapo waweza nenda huko ama ukaja hapa DPC kinondoni kwetu ni pazuri.
 
Linabagua Na kutenga waumini kwa migongo ya sacrament, Halitoi huduma kwa baadhi ya watu pasipo kuwasaidia watoke waliko, halibatizi watoto hadi maoni ya jumuiya, Halina umoja wakati wa matatizo
Sasa kuna taasisi isiyokuwa na sheria? Afu wanajumuia ni haohao masikini wakiwemo, kushiriki ibada za jumuia ndo kigezo kikubwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…