Acceptable
Senior Member
- Oct 7, 2020
- 153
- 303
KKKT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi sema hivyo wakati biblia ipo wazi, labda kama unatumia kitabu kingine, USIFUNGIWE NIRA NA WASIO AMINI.Kila mtu aamini anavoamini
vipi TAG?KKKT linaweza kukidhi vigezo walau kwa asilimia kubwa sana
Unataka kuniambiaje? Je wasiosoma biblia wanatumia vitabu vya imani nyingine nao wamefungwa? Amini unachokiamini nami vivyo hivyo!huwezi sema hivyo wakati biblia ipo wazi, labda kama unatumia kitabu kingine, USIFUNGIWE NIRA NA WASIO AMINI.
Man kuna ukweli. Kuna moja lipo mitaa ya Kibangu kanisa la Mabati Mabati, sitataja exactly location.Ukiwa na pesa unanyenyekewa
Biblia ipo wazi na hasa uwe na uwezo wa kuyaelewa na kuyatafsiri maandiko yakehuwezi sema hivyo wakati biblia ipo wazi, labda kama unatumia kitabu kingine, USIFUNGIWE NIRA NA WASIO AMINI.
Waumin wengi wa RC hatunaga tamaduni ya kusoma na kuchunguza maandikohuwezi sema hivyo wakati biblia ipo wazi, labda kama unatumia kitabu kingine, USIFUNGIWE NIRA NA WASIO AMINI.
Ndiyo wamefungiwa nira, hayo si maneno yangu ni ya YESU.Unataka kuniambiaje? Je wasiosoma biblia wanatumia vitabu vya imani nyingine nao wamefungwa? Amini unachokiamini nami vivyo hivyo!
Soma, omba roho mtakatifu akufuniliwe, kwa aliki zako ukisoma ukataka kuchunguza itakuwa kama stori za kingo na vibonzo tu.Waumin wengi wa RC hatunaga tamaduni ya kusoma na kuchunguza maandiko
Lime-fail hili. Kwanza halipo kila wilaya. Pili hayo ya dizain hiyo hayako kama taasisi,hayo yanakuwaga ya mtu mmoja mpiga pesaKuna kanisa wanaita church of Christ. Litafute utanishukuru.
SawaNdiyo wamefungiwa nira, hayo si maneno yangu ni ya YESU.
Usipo mkiri na kuamini kwamba Ni mwana wa Mungu umepotea, tubu , fikia toba ya kweli, achana na dini fuata wokovu, .Yesu alikuja akakuta dini zina zaidi ya miaka 2000 na hazikufanikiwa kumwondolea mwanadamu dhambi zake, walikuwa wanafunika dhambi ila alipomwaga damu yake ilikuwa ondoleo la dhambi.
Ni kwel lakin hakuna kanisa linalo ongoza kwa kuwaminya waumin wake katika kuwafundisha juu ya ukwel uliopo katika biblia kama RC
Naam....Yanamwabudu Mungu kupitia Yesu kama "Yesu alivyosema mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haji kwangu ila kwa njia ya mimi?"
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji2][emoji2]ndivyo walivyo waleeeMan kuna ukweli. Kuna moja lipo mitaa ya Kibangu kanisa la Mabati Mabati, sitataja exactly location.
Bwana nikaanza kwenda, sio kanisa langu ila kwakua lipo karibu na nilipokua nimehamia. Mi naendaga kanisa la jirani lolote.
Day one nimeenda attention ndogo wakasema tu wageni wajitambulishe nikajitambulisha. Basi ikaisha. Wanasisitiza tutoe sadaka kuanzia buku 5 kwenda mbele.
Next Sunday kukawa na mvua, nikaondoka home na gari, sasa ubaya unavopaki pale kila mtu anakuona. Parking ipo mbele ya kanisa, hafu ni la mabati na nyavu so kuanzia mchungaji anakuona.
Tunavotoka wanasema vijana wabaki. Mi uwa sijishirikishi hayo mambo, nataka kusepa jamaa akanifuata akasema vijana tunabaki. Aisee nilipewa cheo sijui kamati ya nm ya vijana. Na ndio ikawa Jumapili yangu ya mwisho hapo.
Mnawezaje kuishinda dhambi?Waumin wengi wa RC hatunaga tamaduni ya kusoma na kuchunguza maandiko
Kwanini mnaombea wafu wasamehewe dhambi zao hali Biblia imesema wazi baada ya kifo ni hukumu?Mt 16:18 SUV
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Na hilo ndilo neno la bwana...
Kanisa Takatifu katoliki la Mitume. Na liko duniani kote. Taasisi imara kuliko zote. Kanisa halimilikiwi na mchungaji wala nabii. Unaguzi ni wewe kutozishika na kuziishi kanuni na sheria za kanisa katoliki.
Hakuna ubaguzi kama wanavyodai wengine hapa. Mf. Ruge, nillionea mrema, kingunge hawa ni baadhi ya vigogo ambao waliasi ukatoliki kwa namna yao hivyo kujikuta wakikosa huduma. Hawakua masikini ama wanyonge. Ni vigogo na sheria imetumika ipasavyo. Kanisa ni moja takatifu katoliki. Inada ni moja, inada haiendeshwi kwa utashi wa nabii ama mchungaji. Hivyo inakupa nafasi muumini kujiandaa vyema kwa ibada. Inada ya leo kimara, sinza, mwenge, kkoo, italy, spain, usa, mwanza, rwanda zote zinafanana.
Tumsifu Yesu Kristu[emoji120]
No wasabato tuKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu!
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
[emoji23][emoji23]Ukiona kanisa linatumia maturubai na viti vya plastiki ujue umeshapigwa.