Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Mt 16:18 SUV

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Naamin 75% ya wakristu huwa hawaelewi juu ya hii kauli alimaanisha Yesu alikuwa akimaanisha nini. Ndio maana wengi wanaopenda kuitumia huwa wanaishia mstari wa 18 au 19
 

Kanisa ni moja, takatifu, katoliki na ni la mitume!

Karibu kitimoto hapa, tushushie na bia mbili!
Nipo na mafather baada ya kumaliza shughuli za parokia!
 
Mashaidi wa jehova wana kila sifa uliyotaja..... Watakufaa

Kuna Taasisi ya UWATA wanaoijua nadhani wanaelewa.. Kulivyo ni pazuri sanaa kama umeamua kwenda Mbinguni ila huku ujikane kabisaa yan kuacha dhambi na usiludie
 
Mnawezaje kuishinda dhambi?
Unadhania wote wanajua kitu flan ni dhambi? Uamin kwenye kila wanachoambiwa na padri na kiongozi mkuu wa kanisa pasipo kukichunguza ndio maana leo hii papa anauwezo wa kubadirisha sala ya "baba yetu" na asiojiwe
 
Nenda gwaji boy church
 
Kanisa hujichagulii

Funga na kuomba siku moja mwambie Mungu akuonyeshe ukasali wapi na familia yako hilo eneo ulipo

Usiwe na mazoea ukisafiri utapata shida mfano wewe Mkristo MLutheri UKienda Afrika Magharibi makanisa ya kilutheri hayako .
 
Ngoja niulizie vipi vigezo hivyo wanavyo
Nimekwenda mara moja tu, ila kwa mtazamo wangu ni moja kati ya makanisa bora na wanasimamia kwenye vifungu vya biblia vilivyo sio hawa wasoma biblia kama magazeti..

Hao hawana habari za kunena kwa lugha wala kuponyana, huko hakuna kucheza kwa kurukaruka, wanasali kwa utaratibu maalam.
Kama kuna mtu anasali hayo makanisa anaweza kutoa mwongozo.
 
Kanisa Catholic nalipenda ndo litanizika kwakweli
Usipende kuweka mkataba na kifo mpagani wewe

Ndege ya Malyasia ilipotea na watu hadi leo walikofia hawajulikani

Kuna mabasi huungua moto yakateketeza watu hata usijue sura ya nani ni nani

MV BUKOBA watu kibao walikula viapo kama vyako lakini miili yao haikupatikana wala kutambuliwa mingine

Wewe omba Mungu tu akuonyeshe usali wapi atakuonyesha kwa kukuangazia ajuavyo yeye iwe kwa ndoto au chochote

USIWEKE NADHIRI YA NANI ATAKUZIKA AU NANI ASIKANYAGE MSIBA WAKO KWANI HUJUI KIFO KITAKKUKUTA WAPI NA KAMA MWILI WAKO UTAPATIKANA AU LA!!!
 
Ndo ivo sasa we uliye na dini baki na imani yako wachana na mimi mpagani kwani unahisi na upagani wangu kuna chochote unachonizidi au ni hayo tu? Ata nifie majini nikose wa kunizika Ila ntakufa nikiwa nasali Roman Catholic ndugu ama hutaki
 
Ndo ivo sasa we uliye na dini baki na imani yako wachana na mimi mpagani kwani unahisi na upagani wangu kuna chochote unachonizidi au ni hayo tu? Ata nifie majini nikose wa kunizika Ila ntakufa nikiwa nasali Roman Catholic ndugu ama hutaki
HATA JINA LA KANISA LAKO HULIJUI HAKUNA KANISA TANZANIA LINAITWA ROMAN CATHOLIC LIKO LINALOITWA KATOLIKI
 
Kanisa ni moja, takatifu, katoliki na ni la mitume!

Karibu kitimoto hapa, tushushie na bia mbili!
Nipo na mafather baada ya kumaliza shughuli za parokia!
Tena msilewe kwa pombe ambamo humo mna ufisadi. Bali mjazwe na Roho Myakatifu
 
Mkuu karibu sana pale Jesus derivarance church linapatikana mabibo mwisho liko nyuma ya reli inayoelekea tabata ya train za mwakyembe, jaribu kuhudhuria ibada mojawapo jumapili moja, utakuja kunipa mrejesho
 
HATA JINA LA KANISA LAKO HULIJUI HAKUNA KANISA TANZANIA LINAITWA ROMAN CATHOLIC LIKO LINALOITWA KATOLIKI
Pole sana na sio Tanzania dhehebu langu linaitwa Roman Catholic (RC) umevamia dini unataka kufundisha ata usivyovijua si ndio unaniattack utafikiri apo umekaa na yesu pembeni khaaa uliza gugo wakwambie
 
Kanisa ni moja takatifu katoliki la mitume, hayo mengine ni machaka ya wasaka tonge,kama hautojali mtafute Askofu Bandekile Mwamakula ana kanisa lake kinaitwa Moravian Uamsho atakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…